Monday, September 16, 2024
Home 2024 June 14

Daily Archives: June 14, 2024

BENKI YA AKIBA YATOA ELIMU YA FEDHA KWA WADAU MBALIMBALI

0
Benki ya Akiba imesema itaendelea kuunga mkono serikali kwa kutoa elimu ya fedha huku ikiboresha huduma zake nchi nzima ili kusaidia kuwafikia wananchi wengi...

RAIS SAMIA AIPA TANROADS BIL 431.4 KUTEKELEZA MIRADI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU MKOANI KAGERA

0
Na Mathias Canal, Kagera Wakala wa Barabara “TANROADS” Mkoani Kagera inasimamia mtandao wa barabara wenye jumla ya kilomita 1,966.29. Kati ya hizo barabara kuu ni...

AFISA MTENDAJI KATA IWINDI NA WENZAKE WATIWA HATIANI

0
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imewahukumu Afisa Mtendaji wa Kata ya Iwindi na wenzake 2 kulipa faini ya Shilingi 500,000/= kila mmoja au kwenda...

WATUMISHI 10 WA HALMASHAURI YA SENGEREMA WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA UBADHIRIFU WA FEDHA ZA MAPATO

0
Juni 3, 2024 Watumishi 10 wa nafasi na kada mbalimbali katika Halmashauri ya Wilaya ya Sengerama wamefikishwa Mahakamani kwa Makosa ya Matumizi mabaya ya...

ACT-WAZALENDO YAPINGA KAULI YA MKURUGENZI WA TUME HURU YA UCHAGUZI

0
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kauli ya Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Dk. Ramadhan Kailima ya kuhalalisha Ofisi ya Rais...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma June 14, 2024,
Karibu Tukuhudumie..