WAAGIZAJI WAMAFUTA NCHINI WAONDOLEWA HOFU – TPA
Waagizaji wamafuta nchini wameondolewa hofu kuwa ukarabati utakaofanyika katika boya la kushushia mafuta ya nishati aina ya dizel baharini kupitia bomba la TAZAMA kwamba...
VIJANA KUWENI WAANGALIFU UHARIBIFU WA KIDUNIA UMEELEKEZWA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII
Na Magrethy Katengu-- Dar es salaam
NAIBU Katibu Mkuu Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani Mchungaji Wilbroad Mastai, amewashauri...
RC ROSEMARY SENYAMULE AKUTANA NA WAWAKILISHI WA CHAMA CHA WANAWAKE MADEREVA NCHINI JIJINI...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ametembelewa na ugeni kutoka Chama cha Wanawake Madereva Tanzania (CWMT) wenye lengo la kujitambulisha na kuomba...
TGNP WAJADILI NA KUTATHIMINI BAJETI NA MPANGO WA SERIKALI KATIKA JICHO LA KIJINSIA
Kwa takribani miaka nane (08) sasa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) umekuwa na kawaida ya kuwa na majukwaa mbalimbali ikiwemo jukwaa lijulikanalo kwa jina...
TUNAWASAIDIA WAWEKEZAJI WAZAWA KUWA MAHIRI-WAZIRI MKUU
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuwajengea uwezo Watanzania wanaojishughulisha na masuala ya uwekezaji na kuweka mazingira wezeshi ili kuwasaidia wawe mahiri.
Amesema kuwa...
TUNAOMBA ULINZI KUELEKEA CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA NA UCHAGUZI MKUU NCHINI. – MOLLEL
WATU wenye Ulemavu wa Ngozi Ualbino nchini wameiomba serikali kuwawekea mazingira ya usalama wao katika kuelekea kipindi cha Uchaguzi wa Serikali za mitaa utakaofanyika ...
SOMA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI JUNI 13. 2024
Soma kurasa za mbele za magazeti mbali mbali ya leo.