TRENI YA UMEME KUANZA SAFARI DAR ES SALAAM HADI DODOMA
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limezindua kampeni ya uelewa kuhusu kuanza kwa huduma za usafiri wa Treni katika kiwango Cha kimataifa (SGR) zitakazoanza mwisho...
EWURA CCC YAWANOA WANAFUNZI KUHUSU HUDUMA YA NISHATI NA MAJI.
Na Theophilida Felician Kagera.
Baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za nishati na maji EWURA CCC kwa upande wa Mkoa Kagera limetanua wigo katika...
WAZIRI SIMBACHAWENE : KUKOPA SI AIBU, NI AFYA KIUCHUMI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amesema mikopo ni moja ya vyanzo vya...
WAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO KWA WATUMISHI WA UMMA
Awataka waondoe urasimu na kutowasumbua wananchi wanaowahudumia
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma nchini kote wawatumikie wananchi ipasavyo na wahakikishe wanaondoa urasimu kwa...
DAWA HII, IMERUDISHA HESHIMA YA NDOA YANGU
Kurwa Kimani, mkazi wa Otieno Oyoo katika kaunti ya Kisumu nchini Kenya anasimulia hadithi yake ya kustaajabisha ya jinsi alivyotumia mitishamba kutoka kwa Kiwanga...
WATOA HUDUMA NDOGONDOGO ZA FEDHA WATAKIWA KUJISAJILI – RUKWA
Na. Eva Ngowi - Rukwa
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Bw. Charles Makongoro Nyerere, amewataka watoa huduma ndogondogo za fedha Mkoani mwake wasajili huduma zao...
SOMA MAGAZETI YA LEO JUMATANO JUNI 12, 2024
Soma kurasa za mbele za magazeti ya leo jumatano 12 Juni 2024.
MO AAHIDI KUFANYA USAJILI BORA KWA KLABU YA SIMBA
Muwekezaji wa Klabu ya Simba Mohamed Dewji (Mo) amewaahidi Mashabiki wa Simba na wapenda soka kiujumla kuboresha Klabu hiyo kwa kusuka upya benchi la...