SMART DARASA YAWAFUNGULIA MILANGO WADAU WAPYA WA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO KATIKA ELIMU
WADAU wa Elimu nchini waaswa kutumia ubunifu mbalimbali kuhakikisha wanaongeza ufaulu na Kurahisisha nyezo za Watoto Mashuleni Kujifunza kwa Kutumia mifumo ya Teknolojia.
Akizungumza na...
WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA ITALIA NCHINI TANZANIA ANAYEMALIZA MUDA WAKE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 09, 2024 amefanya mazungumzo na Balozi wa Italia Nchini Tanzania Balozi Marco Lombardi ambaye amemaliza muda wake, Ofisi...
WANANCHI WAMETAKIWA KUFANYA MAAMUZI MAZURI YA MATUMIZI YA KIFEDHA
Na Chedaiwe Msuya,WF, Kigoma
Serikali imewataka wananchi kufanya maamuzi mazuri ya matumizi ya kifedha kulingana na malengo waliyojiwekea, ikiwemo kuweka akiba, kupanga matumizi, na kudhibiti...
KURUGENZI YA UKAGUZI NA BIASHARA YA MADINI KUENDELEA KUJENGEWA UWEZO ILI KUBORESHA UTENDAJI KAZI
_ Idara ya Ukaguzi na Biashara ya Madini wasisitizwa kufanya kazi kwa uwajibikaji na ushirikiano.
Akifungua kikao kazi cha kuwajengea uwezo Watumishi wa Kurugenzi ya...
UFUTA UMEUZWA KWA SHILINGI 3653 KWA KILO MKOANI PWANI
Hatimaye Tani 3500 za ufuta zilizokwama kuuzwa tarehe 6 mwezi huu zimeuzwa mkoani Pwani Katika uzinduzi wa mnada wa zao la ufuta wa msimu...
WAZIRI WA UTALII ZANZIBAR AWANONG’ONEZA JAMBO TIGO , MAONESHO YA UTALII KILI FAIR 2024
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga (katikati) akimuelezea jambo, Kaimu Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, Bw. Daniel...
BOUGAINVILLEA YAWAITA WATANZANIA KUTEMBELEA UTALII WA NDANI.
Na Boniface Gideon -ARUSHA
Kampuni ya Utalii kupitia huduma za kulala ya Bougainvillea group of lodges imewaomba wa Watanzania kufanya Utalii wa ndani,Mkurugenzi wa kampuni...