KUELEKEA SIKU YA CHAKULA SALAMA DUNIANI JUNI , 07 TBS WAFUNGUKA HAYA USIYOYAJUA
Na Mwandishi Wetu.
Katika kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Chakula Salama Duniani, Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limewataka wananchi kuhakikisha chakula kinakuwa salama kabla ya...
TIGO WATAMBULISHA ” Energizer U652S yenye 4G ” SIMUJANJA MPYA SOKONI
Daniel Nnko ambaye ni Mkuu wa Kitengo cha Ukuzaji wa Masoko - Tigo (kushoto) akipata maelezo kuhusu simu janja ya Energizer U652S yenye 4G kutoka kwa Afisa...
SIKU YA KIMATAIFA YA KUPINGA UKATILI KWA WAZEE KUFANYIKA KITAIFA MKOANI MARA
Na Shomari Binda-Bunda
Katika kuadhimisha siku ya kupinga ukatili dhidi ya wazee kimataifa juni 15, 2024, kitaifa yatafanyika katika mkoa wa Mara ambapo kabla ya...
WAJASIRIAMALI WADOGO WAPATA ELIMU YA FEDHA SUMBAWANGA
Na. Eva Ngowi, Rukwa
Serikali kupitia Wizara ya Fedha itaendelea kuwashauri wananchi kwa ujumla kushiriki kwa wingi katika semina zinazoendelea kutolewa kuhusiana na elimu ya...
DKT. NCHEMBA ALIOMBA BUNGE KUHIDHINISHIA WIZARA YAKE BAJETI YA TRILIONI 44.19
Na Benny Mwaipaja, WF-Dodoma
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), ameliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuiidhinishia Wizara yake makadirio ya...
WAKAZI WA KIGOMA WASHAURIWA KUWEKEZA KWENYE HATI FUNGANI ZA SERIKALI
Na Chedaiwe Msuya, WF, Kigoma.
Wananchi Mkoani Kigoma wametakIwa kujenga utamaduni wa kuwekeza fedha zao kwa kununua Hati Fungani mbalimbali zinazouzwa na Serikali ili iwe...
NSSF WAIPIGIA CHAPUO HUDUMA MPYA YA NSSF TAARIFA
Na Boniface Gideon -TANGA
MFUKO wa Taifa wa Hifadhi za Jamii nchini (NSSF) wameshiriki maonyesho ya 11 hya Biashara na Utalii yanayoendelea kwenye viwanja vya...
WATUHUMIWA 16 WA MAKOSA YA KUBAKA NA KULAWITI MKOA WA MARA WAPEWA ADHABU
Na Shomari Binda-Musoma
JUMLA ya watuhumiwa 16 wa makosa mbalimbali ya ubakaji na kulawiti wametiwa hatiani kwa kupewa adhabu mbalimbali ikiwemo ya kifungo cha maisha...
MTEGO ULIOMNASA HOUSE BOY
Jina langu ni Sam, nilioana na mke wangu kwa miaka sita iliyopita na tukazaa mtoto mmoja wa kiume ambaye alibadilisha maisha yetu kwa kiasi...