MADIWANI MUSOMA VIJIJINI WACHUKIZWA NA WANAOJIHUSISHA NA BIASHARA YA NGONO
Na Shomari Binda-Musoma
MADIWANI wa Halmashauri ya Musoma vijijini wamesikitishwa na kina dada wanaoendelea kujihusisha na biashara ya ngono.
Wakizungumza kwa hisia kali kwenye kikao cha...
WATOTO TISA WAMEZALIWA KWENYE KAMBI ZA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI NA KIBITI
Watoto tisa wamezaliwa kwenye kambi za Waathirika wa mafuriko ya Mto Rufiji wilayani Rufiji na Kibiti mkoani Pwani.
Akizungumzia Maendeleo ya Waathirika wa mafuriko ya...
WAZIRI MKUU: WAZAZI FUATILIENI MIENENDO YA WATOTO WENU SHULENI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wazazi na walezi wafuatilie mienendo ya watoto wao waendapo shuleni ikiwemo na mahudhurio na masomo yao darasani.
“Serikali inaendelea kuimarisha...
WAZIRI MKUU: WAZAZI FUATILIENI MIENENDO YA WATOTO WENU SHULENI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wazazi na walezi wafuatilie mienendo ya watoto wao waendapo shuleni ikiwemo na mahudhurio na masomo yao darasani.
“Serikali inaendelea kuimarisha...
JHPIEGO YATOA MSAADA WA VIFAA VYA AFYA MKOANI MARA KUKABILIANA NA VIFO VYA MAMA...
Na Shomari Binda-BUNDA
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Jhpiego kupitia mradi wake wa USAID Afya Yangu-Mama na Mtoto limetoa vifaa vya afya kukabiliana na vifo...
RC KILIMANJARO NA DC ROMBO WAONGOZA ZOEZI LA UPANDAJI MITI KAMPENI YA TIGO GREEN...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu akimwagilia maji kwenye mti alio uotesha jana katika Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro ikiwa ni kampeni ya kuhifadhi...
TANZANIA NA MSUMBIJI KUFANIKISHA USHIRIKIANO SEKTA YA BIASHARA
Mhe. Phaustine Kasike, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji amekutana na Mhe. Silvino Augusto Jose Moreno, Waziri wa Viwanda na Biashara...
WATEJA ZAIDI YA MILIONI 20 WA TIGO KUSHEHEREKEA MAFANIKIO KAMPENI YA ” SAKO...
Na Mwandishi Wetu.
Dar es Salaam, 22 Mei 2024. Tigo, Kampuni inayoongoza katika mtindo wa maisha ya kidijitali nchini Tanzania, inajivunia kutangaza uzinduzi wa kampeni...
MSITUMIE DAWA KIHOLELA – WAZIRI UMMY MWALIMU
Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini Mhe Ummy Mwalimu ameitaka jamii kuacha matumizi ya dawa za Kutibu maambukizi ya bacteria...