Thursday, September 19, 2024
Home 2024 May

Monthly Archives: May 2024

NAIBU KATIBU MKUU UJENZI AMPA TANO RAIS SAMIA UKAMILISHAJI MIRADI YA MAENDELEO

0
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Bw. Ludovick Nduhiye amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa...

UJUMBE MUHIMU KWA TAASISI ZA ELIMU , UJIO WA HUDUMA YA ” LIPA ADA...

0
 Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhamed Mussa ( katikati ) katika uzinduzi wa “Lipa Ada,” jukwaa la usimamizi wa shule lililoundwa...

MAMA TUNU PINDA ATEULIWA KUWA MWENYEKITI WA SHIRIKISHO LA AMANI NCHINI – UPF

0
Na Scolastica Msewa, Dar es Salaam Mke wa Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda Mama Tunu Pinda ameteuliea kuwa Mwenyekiti wa shirikisho la amani duniani...

MKUU WA WILAYA YA TANGA ATOA RAI KWA WANANCHI

0
Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mheshimiwa James Kaji amewaalika wakazi wa Mkoa wa Tanga kutembelea banda la Chuo Kikuu Mzumbe katika maadhimisho ya Wiki...

FCC, TRADEMARK AFRICA ZASAINI MKATABA WA BIL.1.5

0
Mkurugenzi Mkuu wa FCC William Erio, (wa pili kulia), na Mkurugenzi wa Trademark Africa, Elibariki Shammy, (kushoto) wakisaini mkataba wa mashirikiano kati ya Taasisi...

TANZANIA NA UFARANSA WAONGEZA WIGO WA USHIRIKIANO

0
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Exaud Kigahe afungua mkutano wa majadiliano ya fursa za uwekezaji na wafanyabiashara wa kampuni 30 kutoka Nchini Ufaransa...

BASHUNGWA AKAGUA MAONESHO YA SEKTA YA UJENZI – BUNGENI

0
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa, amekagua mabanda ya Maonesho ya Sekta ya Ujenzi ambayo yanalenga kutoa elimu na huduma kuhusu kazi zinazofanywa na Wizara...

OFISI YA WAZIRI MKUU YASHIRIKI MAADHIMISHO YA KITAIFA YA ELIMU, UJUZI NA UBUNIFU TANGA

0
NA. MWANDISHI WETU Ofisi ya waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu imeshiriki Maadhimisho ya kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu 2024 yaliyoanza tarehe 25 hadi...

SERIKALI INATHAMINI MCHANGO WA MADHEHEBU YA DINI-MAJALIWA

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuthamini, kutambua na kuheshimu mchango wa madhehebu ya dini katika kuchochea maendeleo katika sekta mbalimbali nchini. Amesema kuwa...

RC MAKONDA APONGEZA UONGOZI WA NCAA KWA MALENGO YA KUKUZA UTALII.

0
Na Mwandishi Wetu, NCAA. Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda ameupongeza uongozi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) kwa kuweka malengo makubwa...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma May 2024,
Karibu Tukuhudumie..