Monday, September 16, 2024
Home 2024 May

Monthly Archives: May 2024

WAZIRI MKUU ATOA WITO KWA TAASISI ZA KIFEDHA KUZITAMBUA HATI ZA KIMILA

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa taasisi za fedha nchini kuzitambua hati za kimila kama dhamana ya kutoa mikopo kwa wananchi. Amesema kuwa hati...

UKARABATI WA MV. MAGOGONI KUKAMILIKA DISEMBA 2024

0
Ukarabati wa Kivuko cha Mv. Magogoni unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa Mwezi Desemba, 2024 na kurejeshwa Nchini ili kuanza kutoa huduma kwa wananchi. Hayo yameelezwa na...

WAPIGA KURA WAPYA 224,355 WATARAJIWA KUJIANDIKISHA KIGOMA

0
Wapiga kura wapya 224,355 wanatarajiwa kuandikishwa mkoani Kigoma wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaotarajiwa kufanyika mkoani humo kwa siku...

RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KUFANYA ZIARA NCHINI KOREA KWA SIKU 6

0
Na Magrethy Katengu--- Dar es salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya kikazi Nchini korea siku...

RC MAKONDA ATAKA ONGEZEKO LA THAMANI KWENYE BIDHAA ZA KILIMO

0
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda ameiagiza Halmashauri ya Meru Wilayani Arumeru kubuni mpango wa kuwezesha ujenzi wa viwanda vya kuongeza...

TRA YASHIRIKIANA NA JUMIKITA KUTOA ELIMU YA KULIPA KODI NCHINI.

0
Na Mariam Muhando_ Dar es salaam. MAMLAKA ya Mapato Tanzania TRA imeahidi kushirikiana na Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania JUMIKITA ili kufanikisha...

VIJANA WATAKIWA  KUTOKATA TAMAA.

0
Vijana wa kitanzania waliokataliwa na wazazi wao wametakiwa kufanya kazi kwa juhudi na maarifa ili waweze kuzifikia ndoto zao Hayo yamesemwa leo Mei 29, 2024...

MGAMBO WAWILI WAHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 3 AU FAINI YA LAKI TANO KILA MMOJA

0
Mei 29, 2024, imeamuliwa Kesi ya Jinai Na.CC. 12307/2024 mbele ya Mh. Sydney Nindi . Katika Shauri hilo lililoendeshwa na Mwendesha Mashtaka wa Serikali Amos...

DKT. NCHEMBA AIOMBA INDONESIA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KUBORESHA MIFUMO YA KODI

0
Na. Benny Mwaipaja, Dodoma. WAZIRI wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameiomba Indonesia kushirikiana na Tanzania kuboresha mifumo ya kodi ili kuboresha ukusanyaji wa...

TANZANIA NA MAREKANI ZADHAMIRIA KUKUZA BIASHARA

0
Tanzania na Marekani zimedhamiria kuongeza kiwango cha biashara baina ya nchi hizo kutoka kiwango cha Dola milioni 460 zilizofikiwa kuanzia mwaka 2016 hadi 2023. Hayo...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma May 2024,
Karibu Tukuhudumie..