Sunday, December 22, 2024
Home 2024 May

Monthly Archives: May 2024

ELIMU YA FEDHA YAWAFIKIA WALIMU BIHARAMULO

0
NA: JOSEPHINE MAJULA, WF KAGERA Timu ya Wataalamu kutoka Wizara ya Fedha inayotoa hudumaa ya elimu ya huduma ndogo za fedha imewafikia walimu wa Shule...

SHERIA ZINAZOHUSU UHIFADHI WA MAZINGIRA ZIANGALIWE UPYA – MPANGO

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameagiza kuangaliwa upya kwa sheria zinazohusu uhifadhi wa mazingira ili kuliwezesha...

IFC YAISHAURI TANZANIA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA PPP

0
Na Ramadhani Kissimba na Farida Ramadhani, WF - Nairobi Taasisi ya Fedha ya Kimataifa (International Finance Cooperation – IFC) imeishauri Tanzania kuchagua miradi mikubwa michache,...

TBS KANDA YA KATI YATEKETEZA BIDHAA ZISIZO NA UBORA

0
Na.Alex Sonna - Dodoma. Shirika la viwango nchini TBS limeteketeza vyakula Pamoja na vipodozi mbalimbali vyenye thamani ya shilingi milioni 42.5 kutokana na kubaini zipo...

DMI: VIJANA CHANGAMKIENI FURSA ZA UBAHARIA.

0
Na Boniface Gideon -TANGA Chuo cha Ubaharia Nchini cha Dar es Salaam Maritime Institute (DMI), kimewataka Vijana kuchangamkia fursa za masomo ya Ubaharia ili kuingia...

SERIKALI YATOA SULUHU YA UVAMIZI MIGODINI – MAVUNDE

0
Serikali imepanga kutenga maeneo ya uchimbaji na kuwapatia vijana ili wawe na sehemu ya kujipatia kipato ikiwa ni kuhakikisha wanakabiliana na changamoto ya uvamizi...

DAWA ZA MIUJIZA ZALETA FURAHA YA MOYO WANGU

0
Naitwa Mage, hapo awali nilipendana na mwanaume anayeitwa Ezron, lakini hakunipenda pia maana alikuwa akichumbiana na mwanamke mwingine anayeitwa Vero ambaye alikuwa mrembo, mwenye...

JELA MIAKA 7 KWA KUJIFANYA ASKARI POLISI NA KUJIPATIA FEDHA WILAYANI MASWA

0
Na Shomari Binda MAHAKAMA ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemtia hatiani mshitakiwa Alex Nangale mwenye umri wa miaka 24 mkazi wa mtaa wa Sokoni...

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA SCTIFI 44 NGAZI  YA MAKATIBU WA WAKUU WA EAC

0
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah akiwa na Katibu MkuuWizara ya Nchi , Ofisi ya Rais Kazi, Uchumi na...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma May 2024,
Karibu Tukuhudumie..