WIZARA YA KILIMO YAHITIMISHA BAJETI YAKE KWA KISHINDO MEI 03, 2023
Wizara ya Kilimo imehitimisha bajeti yake kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 Bungeni jijini Dodoma kwa kishindo kikubwa.
Bajeti hiyo ya zaidi ya shilingi Trilioni 1.24...
ZINGATIENI TAARIFA ZA TMA – WAZIRI JENISTA MHAGAMA
Wananchi wametakiwa kuchukua tahadhari kubwa na kuendelea kufuatilia na kuzingatia taarifa za utabiri na tahadhari kutoka mamlaka ya hali ya hewa Nchini Tanzania (TMA)...
MWENENDO WA KIMBUNGA “HIDAYA” KATIKA BAHARI YA HINDI MASHARIKI MWA PWANI YA TANZANIA
Na Mwandishi wetu --Dar es salaam
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga"HIDAYA' kilichopo katika Bahari ya Hindi...
RAIS SAMIA ATOA BIL 5 KUREJESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA NA MADARAJA – LINDI
Mvua kubwa za El-Nino zilizonyesha zimeleta athari maeneo mbalimbali hapa Nchini ikiwemo katika Mkoa wa Lindi ambapo zimesababisha uharifu mkubwa wa miundombinu ya barabara...
MIAKA MITATU YA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSANI MWAKIPOSA AFUNGUKA
Na Mwandishi Wetu-Dar es salaam
Mwenyekii wa Mtaa wa Dovya Kata ya Bunju Manispaa ya Kinondoni Anasisye Lazarus Mwakiposa amesema kuwa miaka Mitatu ya Uongozi...
UWEKAJI NGUZO ZA ZEGE MKONDO WA MTO RUFIJI WASAIDIA KUZUIA ATHARI KUBWA ZA MAFURIKO...
Licha ya mvua kubwa mwaka huu zilizosababisha mafuriko katika wilaya ya Rufiji mkoani Pwani Shirika la umeme Tanzania TANESCO limesema ubadilishaji wa nguzo kwa...
WANANCHI WAHIMIZWA KUHAMA MAENEO HATARISHI
NA. MWANDISHI WETU
Wananchi wamehimizwa kuendelea kuchukua tahadhari na kuondoka katika maeneo hatarishi yenye viashiria vya kuathiriwa na maafa ili kuendelea kuwa na jamii salama...
MSTAHIKI MEYA KUMBILAMOTO: TUMIENI MITANDAO KUFANYA BIASHARA DUNIA IKO KIGANJANI
Na Magrethy Katengu ---Dar es salaam
Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Omar Kumbilamoto amewaasa wafanyabiashara kufanya biashara kwa kutumia mitandao ikiwa na...
SERIKALI YAANIKA MIKAKATI YA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA WANYAMAPORI WAKALI
Na Happiness Shayo - Dodoma
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imeainisha mikakati mbalimbali ya kukabiliana na changamoto ya wanyamapori wakali na waharibifu katika...
MA-RC TENGENI MAENEO YA MAZOEZI – MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa yote nchini waanze kufanya tathmini na kubainisha maeneo ambayo yatatumika kufanya mazoezi kila Jumamosi.
“Natoa wito kwa...