Monday, December 23, 2024
Home 2024 May

Monthly Archives: May 2024

MFUMO WA PAMOJA WA UKUSANYAJI TOZO KUANZISHWA ILI KURAHISISHA UFANYAJI BIASHARA

0
Waziri wa Viwanda na Biashara,Mhe Dkt. Ashatu Kijaji amesema Serikali inaendelea na mchakato wa kuandaa mfumo mmoja wa ukusanyaji wa kodi kwa wafanyabiashara nchini...

TANZANIA COMMERCIAL BANK (TCB) YAZINDUA KAMPENI KABAMBE YA KIKOBA KIDIGITALI

0
Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Adam Mihayo, akipeperusha bendera kuashiria uzinduzi rasmi wa Kikoba Kidigitali uliofanyika leo Mei 9,2024 Jijini Dar es...

PM.MAJALIWA KUSHIRIKI MBIO ZA TULIA MARATHON 2024.

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 10, 2024 amewasili uwanja wa ndege wa Songwe ambapo kesho Mei 11, 2024 atakuwa mgeni rasmi katika mbio...

ASKARI MGAMBO WAWILI WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KOSA LA KUOMBA HONGO – KATAVI

0
May 09, 2024 katika Mahakama ya Wilaya ya Tanganyika, mbele ya Mhe. Sydney Nindi, Hakimu Mfawidhi, imefunguliwa kesi ya Jinai namba CC. 12307/2024 ya Jamhuri...

WANAWAKE WAHIMIZWA USHIRIKI UPANDAJI MITI KUHIFADHI MAZINGIRA

0
Na Shomari Binda - Musoma WANAWAKE wamehimizwa kushiriki kwenye matukio ya upandaji miti ili kulinda na kuhifadhi mazingira. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya...

SERIKALI YADHAMIRIA KUTATUA CHANGAMOTO YA TEMBO NCHINI

0
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imedhamiria kutatua changamoto ya migongano baina ya binadamu na wanyamapori huku ikisisitiza kuwa katika bajeti ya mwaka...

KUTOKUSIMAMA KWENYE VIVUKO KUNACHANGIA AJALI

0
Mkuu wa Dawati la elimu ya usalama barabarani Tanzania Kamishina Msaidizi wa Polisi, Michael Deceli amewataka madereva wa vyombo vya moto kuzingatia alama za...

RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSANI MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 85 YA KANISA LA...

0
Na Magrethy Katengu----Dar es salaam RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 85 ya Kanisa la Tanzania Assemblie of...

TAWA WATOA ELIMU YA KUJIHAMI NA MAMBA NA KIBOKO SHULE YA SEKONDARI ZIMBWINI KIBITI

0
Wanafunzi wa shule ya sekondari Zimbwini iliyopo Kibiti Pwani wamepatiwa mafunzo maalum kutoka mamlaka ya usimamizi wa wanyama pori Tanzania – TAWA - kanda...

Wananchi kushirikiana na Polisi katika Ujenzi wa kituo

0
Wananchi wa kata na Tarafa ya katunguru wilaya ya Sengerema, mkoani Mwanza wamejitolea kushirikiana na Jeshi la Polisi kuhakikisha wanakamilisha ujenzi wa kituo cha...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma May 2024,
Karibu Tukuhudumie..