Monday, December 23, 2024
Home 2024 May

Monthly Archives: May 2024

TANZANIA KUNUFAIKA NA UANACHAMA WA JUMUIYA ZA NISHATI ZA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI (EAPP)...

0
Na Charles Kombe, Dar es Salaam Tanzania inatarajiwa kunufaika na uanachama wake katika jumuiya za nishati za Afrika Mashariki yaani (East African Power Pool) na...

WASTAAFU WAONYWA KUHUSU MATAPELI

0
Na Asia Singano na Chedaiwe Msuya – WF - Morogoro Wizara ya Fedha imeendelea kuwakumbusha wastaafu wanaolipwa mafao na Wizara ya Fedha kutojihusisha na utoaji...

VIONGOZI WATAKIWA KUWEKA ULINZI WA MIPAKA

0
Na Hamida Kamchalla, TANGA.MKUU wa Mkoa wa Tanga Balozi Dkt. Batilda Buriani amewataka viongozi wa kituo cha mpaka wa Horohoro kuweka ulinzi madhubuti mpakani...

SUALA LA UBOVU WA BARABARA, WAZIRI MKUU ATAKA WANANCHI WAWE WAVUMILIVU

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wananchi wawe wavumilivu hadi msimu wa mvua uishe ndipo Serikali itafanya tathmini ya uharibifu wa miundombinu na kujua mahitaji...

WAZIRI MKUU AKAGUA SHAMBA LA MKULIMA WA KAKAO, KYELA

0
Waziri Mkuu Kasssim Majaliwa leo Mei 12, 2024 ametembelea shamba la Mkulima zao la Kakao Clement Msalangi lililopo kijiji cha Mababu, Wilayani Kyela Mei...

SERIKALI KUJENGA KITUO JUMUISHI CHA PARACHICHI RUNGWE

0
SERIKALI imeanza mchakato wa ujenzi wa kituo jumuishi cha huduma za parachichi ambacho kitasaidia kuhifadhi na kuchakata zao la Parachichi kitakachojengwa eneo la Kiwira...

KAMPUNI YA TIGO , WAUNGANA NA WAZIRI MKUU KUSHIRIKI MBIO ZA MBEYA TULIA MARATHON...

0
Na Mwandishi Wetu. Kampuni ya Tigo leo Mei 11, 2024 imeshiriki katika tukio la mbio za Mbeya Tulia Marathoni 2024 zilizoandaliwa na Taasisi Isiyo ya Kiserikali...

DIBIBI AGAWA VIFAA VYA OFISI KWA MAKATIBU KATA NA MATAWI YA JUMUIYA YA WAZAZI...

0
Na Scolastica Msewa, Kisarawe Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wilaya ya Kisarawe Khamisi Dibibi akabidhi vifaa vya ofisi za Jumuiya kwa Makatibu kata na matawi...

BRIGEDIA JENERALI NDAGALA AKAGUA ENEO LILILOATHIRIKA NA MAJI YA MVUA KIGAMBONI

0
Mkurugenzi Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Brigedia Jenerali Hosea Ndagala amefanya ziara ya kutembelea Wilaya ya...

WAZIRI MKUU ASHIRIKI MBIO ZA MBEYA TULIA MARATHON 2024

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 11, 2024 ameshiriki katika tukio la mbio za Mbeya Tulia Marathoni 2024 zilizoandaliwa na Taasisi Isiyo ya Kiserikali...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma May 2024,
Karibu Tukuhudumie..