WAVUVI MUSOMA VIJIJINI WATAKIWA KUJITAYARISHA NA MIKOPO YA VIFAA VYA UVUVI KUJIINUA KIUCHUMI
Na Shomari Binda
WAVUVI katika jimbo la Musoma vijijini wametakiwa kujitayarisha na mikopo ya vifaa vya uvuvi vinavyotolewa na serikali ili kujikwamua kiuchumi.
Matayarisho hayo ni...
TAASISI ZA FEDHA ZAKOPESHA TRILIONI 33
Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma.
Serikali imesema kuwa hadi kufikia tarehe 31 Desemba 2023, mikopo yenye jumla ya shilingi trilioni 33.2 imetolewa na Benki na...
WANANCHI IRINGA WATAKIWA KULINDA MIUNDOMBINU YA BARABARA KWA MATUMIZI ENDELEVU
Wananchi mkoani Iringa wamehimizwa kuilinda na kuitunza vema miundombinu ya barabara ili iwe endelevu na wanufaike nazo kwa muda mrefu kwa maendeleo yao na...
RC.CHONGOLO AFUATILIA UTOAJI HUDUMA ZA MADAKTARI BINGWA WA RAIS SAMIA TUNDUMA
Mkuu wa mkoa wa Songwe Mhe. Daniel Chongolo amefanya ziara katika Halmashauri ya Mji Tunduma ambapo ametembelea Hospitali ya Mji Tunduma na kujionea namna...
DKT. NCHEMBA: WADAU WAWEKEZE KWENYE SEKTA ZA UZALISHAJI
Na. Peter Haule na Saidina Msangi, WF, Dodoma
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ametoa rai kwa wadau wa maendeleo nchini likiwemo Shirika...
MAKUMBUSHO YA CHINA NA TANZANIA KUSHIRIKIANA
Na Mwandishi Wetu-Beijing
Makumbusho ya Taifa ya China na Tanzania zimekubaliana kushirikiana katika kubadilishana uzoefu, teknolojia na kuwa na maonesho ya pamoja kwa lengo la...
WIZARA YA FEDHA YATOA ELIMU YA KURIPOTI MASUALA YA BAJETI KWA WAMILIKI WA KITANDAO...
Na Asia Singano na Chedaiwe Msuya – WF – Morogoro.
Serikali kwa kushirikiana na vyombo vya habari imeahidi kufanya kazi kwa pamoja hasa katika kipindi...
TANZANIA KUNUFAIKA NA UANACHAMA WA JUMUIYA ZA NISHATI ZA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI (EAPP)...
Na Charles Kombe, Dar es Salaam
Tanzania inatarajiwa kunufaika na uanachama wake katika jumuiya za nishati za Afrika Mashariki yaani (East African Power Pool) na...
FCS NA TRADEMARK AFRICA WAMESAINI MAKUBALIANO YA KUBORESHA MAZINGIRA WEZESHI NA JUMUISHI
Foundation for Civil Society (FCS) na TradeMark Africa wamesaini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa kuboresha mazingira wezeshi na jumuishi ya kibiashara kuhakikisha wanawake,...
TANZANIA KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA UNICEF-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Mei 14, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto(UNICEF)...