ELIMU YA FEDHA YAWAFIKIA WALIMU BIHARAMULO
NA: JOSEPHINE MAJULA, WF KAGERA
Timu ya Wataalamu kutoka Wizara ya Fedha inayotoa hudumaa ya elimu ya huduma ndogo za fedha imewafikia walimu wa Shule...
SHERIA ZINAZOHUSU UHIFADHI WA MAZINGIRA ZIANGALIWE UPYA – MPANGO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameagiza kuangaliwa upya kwa sheria zinazohusu uhifadhi wa mazingira ili kuliwezesha...
IFC YAISHAURI TANZANIA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA PPP
Na Ramadhani Kissimba na Farida Ramadhani, WF - Nairobi
Taasisi ya Fedha ya Kimataifa (International Finance Cooperation – IFC) imeishauri Tanzania kuchagua miradi mikubwa michache,...
TBS KANDA YA KATI YATEKETEZA BIDHAA ZISIZO NA UBORA
Na.Alex Sonna - Dodoma.
Shirika la viwango nchini TBS limeteketeza vyakula Pamoja na vipodozi mbalimbali vyenye thamani ya shilingi milioni 42.5 kutokana na kubaini zipo...
DMI: VIJANA CHANGAMKIENI FURSA ZA UBAHARIA.
Na Boniface Gideon -TANGA
Chuo cha Ubaharia Nchini cha Dar es Salaam Maritime Institute (DMI), kimewataka Vijana kuchangamkia fursa za masomo ya Ubaharia ili kuingia...
SERIKALI YATOA SULUHU YA UVAMIZI MIGODINI – MAVUNDE
Serikali imepanga kutenga maeneo ya uchimbaji na kuwapatia vijana ili wawe na sehemu ya kujipatia kipato ikiwa ni kuhakikisha wanakabiliana na changamoto ya uvamizi...
DAWA ZA MIUJIZA ZALETA FURAHA YA MOYO WANGU
Naitwa Mage, hapo awali nilipendana na mwanaume anayeitwa Ezron, lakini hakunipenda pia maana alikuwa akichumbiana na mwanamke mwingine anayeitwa Vero ambaye alikuwa mrembo, mwenye...