Sunday, December 22, 2024
Home 2024 May 31

Daily Archives: May 31, 2024

ZIGO LA EURO CUP NA Hisense KUMENOGA , SOMA HAPA KUSHINDA MAMILIONI , TV...

0
 Ramadhan S. Mrutu ( Katikati ) ambaye ni mshindi wa tiketi ( Droo ya kwanza ) Kampeni ya ZIGO la EURO CUP na Hisense, safari...

KAYA 1,373 ZENYE WATU 8,364 NA MIFUGO 36,457 ZAHAMA KWA HIARI NGORONGORO- MHE KAIRUKI.

0
Na Kassim Nyaki, Dodoma. Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amelieleza bunge kuwa jumla ya kaya 1,373 zenye watu 8,364 na mifugo...

DKT NCHEMBA AZINDUA MFUMO WA KIELETRONIKI WA FORODHA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

0
Na Benny Mwaipaja, Arusha Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amewaongoza Mawaziri wa Nchi nyingine wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika...

ANZISHENI MADAWATI YA SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UBUNIFU-MAJALIWA

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka Halmashauri zote nchini zihakikishe zinakamilisha uanzishwaji wa Madawati ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu ifikapo Julai 2025. Sambamba na hilo amesema,...

DKT. BITEKO AZINDUA KITUO CHA KUPOZA UMEME IFAKARA

0
📌 Kuimarisha upatikanaji umeme Kilombero, Ulanga na Malinyi 📌 Kuchochea viwanda vya uongezaji thamani Mazao, Madini 📌 Asema Serikali inachukulia kwa uzito mkubwa suala la upatikanaji...

MAGU KINARA MASHINDANO YA UMITASHUMTA MKOA WA MWANZA, YABEBA VIKOMBE 13.

0
Halmashauri ya Wilaya ya Magu imeshika nafasi ya kwanza kimkoa katika Mashindano ya umoja wa Michezo na taaluma kwa wanafunzi wa Shule za Mshingi...

RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MTAWALA WA MJI WA SERIKALI WA SEJONG

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mtawala wa Mji wa Serikali wa Sejong, Mhe. Kim...

TULINDE MAPAFU NA AFYA ZETU KWA KUJIEPUSHA NA MATUMIZI YA TUMBAKU”DK.SHANI”

0
Na Shomari Binda-Musoma JAMII imeshauriwa kujiepusha na matumizi ya tumbaku ili kuepukana na uharibifu wa mapafu, mfumo wa upumuaji na ubongo. Hayo yamesemwa na mganga mfawidhi...

BRELA YATOA ELIMU YA MILIKI UBUNIFU , WIKI YA ELIMU, UJUZI NA UBUNIFU.

0
Na Boniface Gideon -TANGA Wakala wa Biashara na Leseni 'BRELA', wameendesha zoezi la kutoa Elimu ya alama Miliki Ubunifu Bunifu kwa Wateja na Wadau mbalimbali...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma May 31, 2024,
Karibu Tukuhudumie..