JELA MIAKA 7 KWA KUJIFANYA ASKARI POLISI NA KUJIPATIA FEDHA WILAYANI MASWA
Na Shomari Binda
MAHAKAMA ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemtia hatiani mshitakiwa Alex Nangale mwenye umri wa miaka 24 mkazi wa mtaa wa Sokoni...
TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA SCTIFI 44 NGAZI YA MAKATIBU WA WAKUU WA EAC
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah akiwa na Katibu MkuuWizara ya Nchi , Ofisi ya Rais Kazi, Uchumi na...
WAZIRI MKUU ATOA WITO KWA TAASISI ZA KIFEDHA KUZITAMBUA HATI ZA KIMILA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa taasisi za fedha nchini kuzitambua hati za kimila kama dhamana ya kutoa mikopo kwa wananchi.
Amesema kuwa hati...
UKARABATI WA MV. MAGOGONI KUKAMILIKA DISEMBA 2024
Ukarabati wa Kivuko cha Mv. Magogoni unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa Mwezi Desemba, 2024 na kurejeshwa Nchini ili kuanza kutoa huduma kwa wananchi.
Hayo yameelezwa na...