Sunday, December 22, 2024
Home 2024 May 29

Daily Archives: May 29, 2024

WAPIGA KURA WAPYA 224,355 WATARAJIWA KUJIANDIKISHA KIGOMA

0
Wapiga kura wapya 224,355 wanatarajiwa kuandikishwa mkoani Kigoma wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaotarajiwa kufanyika mkoani humo kwa siku...

RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KUFANYA ZIARA NCHINI KOREA KWA SIKU 6

0
Na Magrethy Katengu--- Dar es salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya kikazi Nchini korea siku...

RC MAKONDA ATAKA ONGEZEKO LA THAMANI KWENYE BIDHAA ZA KILIMO

0
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda ameiagiza Halmashauri ya Meru Wilayani Arumeru kubuni mpango wa kuwezesha ujenzi wa viwanda vya kuongeza...

TRA YASHIRIKIANA NA JUMIKITA KUTOA ELIMU YA KULIPA KODI NCHINI.

0
Na Mariam Muhando_ Dar es salaam. MAMLAKA ya Mapato Tanzania TRA imeahidi kushirikiana na Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania JUMIKITA ili kufanikisha...

VIJANA WATAKIWA  KUTOKATA TAMAA.

0
Vijana wa kitanzania waliokataliwa na wazazi wao wametakiwa kufanya kazi kwa juhudi na maarifa ili waweze kuzifikia ndoto zao Hayo yamesemwa leo Mei 29, 2024...

MGAMBO WAWILI WAHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 3 AU FAINI YA LAKI TANO KILA MMOJA

0
Mei 29, 2024, imeamuliwa Kesi ya Jinai Na.CC. 12307/2024 mbele ya Mh. Sydney Nindi . Katika Shauri hilo lililoendeshwa na Mwendesha Mashtaka wa Serikali Amos...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma May 29, 2024,
Karibu Tukuhudumie..