MAADHIMISHO YA SIKU YA VIPIMO DUNIANI 2024 , TBS WATUMA UJUMBE KWA WADAU
Na Mwandishi Wetu
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeungana na mataifa mengine duniani kufanya maadhimisho ya siku ya Vipimo ambayo hufanyika Mei 20 kila mwaka...
MHE. ZUNGU AFUNGUA SEMINA YA WABUNGE KUHUSU UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA TBS NA BRELA
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Zungu amefungua semina ya wabunge kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na Wakala wa...
NCAA YAHITIMISHA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAKUMBUSHO DUNIANI KATIKA BONDE LA OLDUVAI...
Na Kassim Nyaki, Ngorongoro.
Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) leo tarehe 20 Mei,2024 imehitimisha kilele cha wiki ya maadhimisho ya siku ya...
MWAMBAO WAZINDUA KAMPENI YA ‘MKUBA’ KUNUSURU RASILIMALI ZA BAHARI
Na Boniface Gideon, MUHEZA
Shirika la Mwambao Coastal Community Network kwa kushirikiana na Halmshauri ya Wilaya ya Muheza mkoani Tanga wamezindua rasmi kampeni inayoitwa 'MKUBA'...
WAZIRI UMMY AWATAKA WANAWAKE KUCHANGAMKIA FURSA ZA KIUCHUMI
Na Boniface Gideon -TANGA
Waziri wa Afya ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Tanga amewataka Wanawake na Vijana kuchangamkia fursa mbalimbali za kiuchumi zinazowazunguka...
AGRI CONNECT YAONGEZA MNYORORO WA THAMANI WA MAZAO – MUFINDI
Mufindi
Imeelezwa kwamba kukamilika kwa ujenzi wa Barabara ya Km. 30.3 kutoka Sawala -Mkonge- Iyegeya uliogharimu shilingi bilioni 12.17 kupitia mradi wa Agri- Connect unaofadhiliwa...