WAVUNAJI WA MAZAO YA MISITU WAVUNE NDANI YA MAENEO WALIYOPEWA VIBALI
Na Scolastica Msewa, BagamoyoWakala wa Huduma za misitu Tanzania TFS wamewataka Wavunaji wa mazao ya misitu nchini kuvuna mazao hayo ndani ya maeneo waliyopewa...