MABALOZI WA AFRIKA NCHINI KUSHIRIKI MBIO ZA MARATHONI
Na Magrethy Katengu---Dar es salaam
Mabalozi wa Nchi za Afrika nchini Tanzania wanatarajia kushiriki mbio za riadha kuanzia kilomita 5 hadi 15 zitakazofanyika Mei 18...
MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI SAIDI YAKUBU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi mpya wa Tanzania nchini Comoro...
WAVUVI MUSOMA VIJIJINI WATAKIWA KUJITAYARISHA NA MIKOPO YA VIFAA VYA UVUVI KUJIINUA KIUCHUMI
Na Shomari Binda
WAVUVI katika jimbo la Musoma vijijini wametakiwa kujitayarisha na mikopo ya vifaa vya uvuvi vinavyotolewa na serikali ili kujikwamua kiuchumi.
Matayarisho hayo ni...
TAASISI ZA FEDHA ZAKOPESHA TRILIONI 33
Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma.
Serikali imesema kuwa hadi kufikia tarehe 31 Desemba 2023, mikopo yenye jumla ya shilingi trilioni 33.2 imetolewa na Benki na...
WANANCHI IRINGA WATAKIWA KULINDA MIUNDOMBINU YA BARABARA KWA MATUMIZI ENDELEVU
Wananchi mkoani Iringa wamehimizwa kuilinda na kuitunza vema miundombinu ya barabara ili iwe endelevu na wanufaike nazo kwa muda mrefu kwa maendeleo yao na...
RC.CHONGOLO AFUATILIA UTOAJI HUDUMA ZA MADAKTARI BINGWA WA RAIS SAMIA TUNDUMA
Mkuu wa mkoa wa Songwe Mhe. Daniel Chongolo amefanya ziara katika Halmashauri ya Mji Tunduma ambapo ametembelea Hospitali ya Mji Tunduma na kujionea namna...