WANAWAKE WAHIMIZWA USHIRIKI UPANDAJI MITI KUHIFADHI MAZINGIRA
Na Shomari Binda - Musoma
WANAWAKE wamehimizwa kushiriki kwenye matukio ya upandaji miti ili kulinda na kuhifadhi mazingira.
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya...
SERIKALI YADHAMIRIA KUTATUA CHANGAMOTO YA TEMBO NCHINI
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imedhamiria kutatua changamoto ya migongano baina ya binadamu na wanyamapori huku ikisisitiza kuwa katika bajeti ya mwaka...
KUTOKUSIMAMA KWENYE VIVUKO KUNACHANGIA AJALI
Mkuu wa Dawati la elimu ya usalama barabarani Tanzania Kamishina Msaidizi wa Polisi, Michael Deceli amewataka madereva wa vyombo vya moto kuzingatia alama za...
RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSANI MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 85 YA KANISA LA...
Na Magrethy Katengu----Dar es salaam
RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 85 ya Kanisa la Tanzania Assemblie of...
TAWA WATOA ELIMU YA KUJIHAMI NA MAMBA NA KIBOKO SHULE YA SEKONDARI ZIMBWINI KIBITI
Wanafunzi wa shule ya sekondari Zimbwini iliyopo Kibiti Pwani wamepatiwa mafunzo maalum kutoka mamlaka ya usimamizi wa wanyama pori Tanzania – TAWA - kanda...