MIRADI YA BILIONI 2.4 IMEKAGULIWA NA KUWEKA MAWE YA MSINGI NA MWENGE WA UHURU...
Na Scolastica Msewa, Kibiti.Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa mwaka 2024 Godfrey Mnzava ameeleza kuridhishwa na utekelezwaji wa miradi 15 wilayani Kibiti...
WAZIRI MKUU AONGOZA MKUTANO WA KAZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 07, 2024 ameongoza Mkutano wa kazi wa Mawaziri na Naibu Mawaziri uliofanyika kwenye ukumbi wa Hazina, jijini Dodoma....
UHAMIAJI TANGA YATOA ONYO KALI KWA MADALALI WA WAHAMIAJI HARAMU
Na Boniface Gideon,TANGA
JESHI la Uhamiaji Mkoa wa Tanga limewaonya mawakala hasa watanzania wanaoji husisha na mtandao wa kuwaingiza wahamiaji haramu mkoani humo kuacha mara...
UBALOZI WA USWISI WASHIRIKIANA NA SHIRIKA LA AMEND TANZANIA KUTOA MAFUNZO KWA MADEREVA BODABODA
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
MADEREVA bodaboda 145 katika Jiji la Dodoma- wamepatiwa mafunzo ya usalama barabarani awamu ya pili yalioanza Aprili 15 Aprili na kukamilika...
Lugha ya Kiswahili ni fursa Watanzania tutumie kukuza uchumi wetu
Hayo yamesemwa na Balozi wa Tanzania nchini Italia Mahmoud Thabit Kombo wakati akizungumza Wadau wa Kiswahili, Wasanii na Wanafunzi kwenye Tamasha la Hamasa ya...
MWENGE WA UHURU 2024 WASHINDWA KUFIKA KWENYE MIRADI MIWILI RUFIJI, MAJI YAFUNIKA BARABARA
MWENGE wa Uhuru 2024 umelazimika kupokea taarifa ya miradi miwili ya maendeleo iliyopo Utete makao makuu ya wilaya ya Rufiji katika Kitongoji cha Bomba,...