RAIS SAMIA AMEFANYA UTEUZI WA VIONGOZI MBALIMBALI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Elirehema Joshua Doriye kuwa Kamishna wa Uhifadhi, Mamlaka ya Hifadhi ya...
RAIS SAMIA AAGIZA HUDUMA ZA DHARURA MAENEO YALIYOATHIRIWA NA KIMBUNGA HIDAYA
RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan ameagiza huduma za dharura zipelekwe kwenye maeneo yaliyopata athari kutokana na kimbunga Hidaya.
Hayo yamesemwa leo (Mei 6, 2024) na...
RC CHONGOLO AIPA HEKO TANROADS // BIL 5.7 ZATOLEWA KUTATUA CHANGAMOTO ZA MIUNDOMBINU MKOANI...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Daniel Chongolo ameipongeza timu ya wataalamu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kwa kufanya kazi kwa haraka na...
CCM YAWAPIGA TAFU WAFANYABIASHARA NA MAFUNDI MAGARI.
Na Boniface Gideon,TANGA
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga kimewapiga jeki Vijana wanaojihusisha na Biashara ya kuuza nyama na Mafundi Magari walipo katika soko...