Dkt. Yonazi atoa pole kwa waathirika wa maafa Moshi
Na. MWANDISHI WETU, Moshi
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ametoa salamu za pole...
ALIYETAMBULIWA KUWA MFANYAKAZI BORA BUKOBA AIPONGEZA SERIKALI NA CHAKUHAWATA
Na Theophilida Felician Kagera.
Mwalimu wa shule ya Sekondari Rwamishenye Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera Japhari Mohamedi Omari aliyefanikiwa kutunukiwa tuzo ya mfanyakazi bora kwenye...
TBS WAKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA VIPODOZI , WAWATAKA KUSAJILI BIDHAA ZAO
Na Mwandishi Wetu.
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wafanyabishara wa bidhaa za vipodozi kuhakikisha wanasajili bidhaa zao , kuthibitisha ubora wake pamoja na kusajili...
MILIONI 107 KUNUNUA MBEGU ZA KURUDISHIA MAZAO KWENYE MASHAMBA YALIYOATHIRIWA NA MAFURIKO RUFIJI
Shilingi milioni 107 zimepatikana kwaajili ya kununua mbegu Bora za kilimo za kurudishia kilimo cha Wakulima ambao mashamba yao yaliathirika na mafuriko ya Mto...
TMA YATOA HALI YA MWENENDO WA KIMBUNGA CHA HIDAYA
Na Mwandishi wetu--- Dar es Salaam,
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Mei 4,2024 Jijini Dar es salaam inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa...