WANANCHI WAPATIWE ELIMU YA NISHATI MBADALA -RC MALIMA
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adam Malima amesema kuwa kuna umuhimu mkubwa wa wananchi kupatiwa elimu juu ya matumizi ya nishati mbadala hasa matumizi...
LPG YAPONGEZA SERIKALI KWA JUHUDI ZA KUWASAIDIA WANANCHI MITUNGI YA GESI
Na Magrethy Katengu
Chama Wafanyabiashara Waagizani na Wasambazaji wa gesi ya kupikia Majumbani (LPG) kimeipongeza Serikali kwa juhudi wanayoifanya kugawa mitungi ya gesi kwa wananchi...
TUCTA PWANI YALILIA BOTI KWA AJILI YA USAFIRI WA WALIMU WANAOFUNDISHA KATIKA SHULE ZILIZO...
NA Scolastica Msewa, Kibiti.Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni Mfanyakazi Bora mchapakazi wa kwanza katika mkoa wa Pwani kwa kuboresha maslahi na kuboresha miundombinu...
MASAUNI, IGP WAMBURA WAAHIDI UCHAGUZI HURU
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imewaahidi watanzania kuwepo kwa Uchaguzi Huru na Haki ikiwemo uchaguzi wa Serikali...
MWELI: JIKITENI KWENYE UWAJIBIKAJI NA TEKNOLOJIA KUENDELEZA KILIMO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw.Gerald Mweli amesisitizia suala la Uwajibikaji wenye tija katika utekelezaji wa majukumu kwa Taasisi, Sekta Binafsi na Idara...
DKT.KIJAJI AMEWAHAMASISHA WAFANYABIASHARA WA SAUDI ARABIA KUNUNUA BIDHAA KUTOKA TANZANIA
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewahimiza na kuwahamasisha wafanyabiashara wa Saudi Arabia kuongeza kasi ya kununua bidhaa kutoka Tanzania...
MAJALIWA: MEI MOSI NI SIKU MAALUM KWA AJILI YA WAFANYAKAZI KUTAFAKARI NA KUTATHIMINI MALENGO...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) ambayo huadhimishwa kila mwaka ni siku maalum kwa ajili ya wafanyakazi kutafakari na...
MAAFISA UTUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUHIGWE WAKUTWA NA HATIA YA KUOMBA NA...
Tarehe 30/04/2024 katika Mahakama ya Wilaya ya Buhigwe mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Mhe. Katoki Mwakitalu, imetolea hukumu kupitia Shauri la Jinai...
TANZANIA YASISITIZA UMOJA WA MATAIFA KUWA HAINA WATU WA ASILI.
Na Mwandishi Maalum, New York Marekani.
Kikao cha 23 cha Jukwaa la kudumu la Umoja wa Mataifa la Masuala ya Watu wa Asili (UNPFII) kimemalizika...
DKT. KIJAJI ATETA NA BENKI YA SAUDI EXIM
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt. Ashatu Kijaji ameishauri Benki ya Saudi Exim kuwawezesha wafanyabiashara wa Tanzania na Saudi Arabia ili waweze kuongeza...