UKABILA USIPEWE NAFASI, TUJENGE TAIFA – KINANA
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahman Kinana amewasisitiza wanachama wa chama hicho na wananchi kwa ujumla kuachana na tabia za ukabila...
TUFIKISHIE SALAMU ZA SHUKRANI KWA DKT SAMIA KUTUOKOA KUTOKA NDANI YA HIFADHI; WANANCHI MSOMERA.
Na Mwandishi wetu, Handeni.
Wananchi waliohama kwa hiyari kutoka eneo la hifadhi ya Ngorongoro kwenda Kijiji cha Msomera wilayani Handeni mkoani Tanga wamemuomba mkuu wa...
DC SAME AMEWATAKA WANANCHI KUHAKIKISHA WANAITUNZA MIRADI AMBAYO IMEZINDULIWA NA MBIO MWENGE 2024
Na Ashrack Miraji Same Kilimanjaro
Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Mhe. Kasilda Mgeni amewataka wananchi kuhakikisha kila mmoja kwenye eneo lake anashiriki kikamilifu...
MAPOKEZI YA KATIBU MKUU DKT. NCHIMBI KATIKA OFISI ZA CCM MKOA WA KATAVI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili na kukaribishwa na Viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali wa Mkoa...
KUTOKA MAHAKAMA YA WILAYA YA TANGANYIKA MKOA WA KATAVI.
MWENYEKITI WA KIJIJI AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 3 AU FAINI YA LAKI TANO
Aprili 12, 2024 katika Mahakama ya Wilaya ya Tanganyika, mbele ya Mhe....
KAPATA MCHUMBA ILA KIFAFA KINAMZUIA ASIOLEWE
Naitwa Pendo Ambani kutoka Eldoreti nchini Kenya, kwa muda mrefu tulikuwa tunazunguka na ndugu yetu ambaye alikuwa anaugua ugonjwa wa kifafa ambao ni hatari...
RAIS SAMIA AMEFANYA UTEUZI WA VIONGOZI.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi katika nafasi mbalimbali.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi...
TBS WATOA ELIMU MATUMIZI YA VIPODOZI , WAWATAKA WAFANYABIASHARA KUSAJILI BIDHAA KABLA YA KUZIINGIZA...
Kaimu Meneja wa usajili wa bidhaa TBS Bi.Noor Meghji akizungumza na waandishi wa habari Kuhusu hatua za kufuata ili kusajili bidhaa za Vipodozi leo...
PM. MAJALIWA NA MKEWE WASHIRIKI IBADA YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 40 YA KIFO CHA...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary Majaliwa wakisalimiana na wajane wa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Moringe Sokoine, Nekiteto Sokoine (wa pili kushoto) na...