Thursday, February 6, 2025
Home 2024 April

Monthly Archives: April 2024

BODI YA MFUKO WA BARABARA YAUNDA MABARAZA KWA WAFANYAKAZI

0
Kaimu Mtendaji Mkuu Bodi ya mfuko wa Barabara Rashidi Kalimbaga amewataka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA pamoja na TANROADS kutumia vizuri...

PM. MAJALIWA AWASILI MKOANI MOROGORO KUKAGUA ATHARI ZILIZOSABABISHWA NA MAFURIKO

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 16, 2024 amewasili Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro ambapo atakagua athari zilizosababishwa na mafuriko yaliyotokana...

MAJALIWA AFIKA MLIMBA KUKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO

0
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu Majaliwa ametembelea wilayani Kilombero kujionea maeneo mbalimbali yaliyokumbwa na changamoto ya mafuriko ili kuchukua hatua Akitoa...

TBS WAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI WAELEZA JITIHADA ZA SERIKALI KUWAINUA WAJASIRIAMALI...

0
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kipindi cha miaka mitatu, jumla ya leseni za ubora wa bidhaa 2,106 zilitolewa kwa wazalishaji mbalimbali wa bidhaa...

ULEGA AKABIDHI BOTI YA THAMANI YA MILIONI 42 RUFIJI

0
Mkuu wa mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge amepokea ahadi ya Msaada wa boti yenye mashine kutoka kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi ambaye pia...

Baraza la Ushindani (FCT) latoa Mafunzo kwa Wadau kuimarisha Soko lenye Usawa

0
Baraza la Ushindani (FCT) limeandaa mafunzo kwa wadau wake wakiwemo wafanyabiashara, watoa huduma na walaji ikiwemo jamii kwa lengo la kuwaelimisha kuhusu shughuli za...

RC KUNENGE APOKEA TANI 300 ZA CHAKULA KUTOKA KWA RAIS DKT. SAMIA KWA AJILI...

0
Mkuu wa mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge amepokea msaada wa mchele, Maharage na unga tani 300 kutoka kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya muungano...

POLISI KAGERA KUCHUNGUZA KIFO CHA MAUAJI YA MWANAFUNZI ALIYEKUTWA AMEUWAWA KIKATILI

0
Theophilida Felician, Kagera Jeshi la polisi Mkoani Kagera linafanya uchunguzi wa kifo cha mtoto mwenye umri wa miaka 11 mwanafunzi wa darasa la sita (6)...

HAJI MANARA AJIUNGA NA PARIMATCH

0
KAMPUNI ya Ubashiri nchini Parimatch imemtangaza Mwanaharakati Haji Manara kama Balozi mpya wa Kampuni hiyo ili kuitangaza vizuri ndani na nje ya nchi Kampuni...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma April, 2024 - Mzawa Online - Page 8,
Karibu Tukuhudumie..