Thursday, February 6, 2025
Home 2024 April

Monthly Archives: April 2024

MADAKTARI NA ASKARI WAPEWA ANGALIZO UBEBAJI WA SAMPULI

0
Ili vielelezo vya makosa ya jinai vinavyopelekwa ofisi ya Maabara ya mkemia mkuu wa Serikali kwaajili ya uchunguzi wa kimaabara kuweza kutoa matokeo sahihi...

FCT YAONGEZA UWAJIBIKAJI NA UBUNIFU KWA MAMLAKA ZA UDHIBITI NA WAFANYABIADHARA

0
Kusikilizwa na kufanyiwa kazi kwa asilimia 97 ya mashauri yaliyowasilishwa kwenye Baraza la Ushindani nchini (FCT) kumechochea na kuongeza uwajibikaji kwa mamlaka za udhibiti...

SERIKALI KULIPA FIDIA ENEO LA IDEFU – MAKAMBAKO

0
Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma. Serikali imesema kuwa imeanza taratibu za tathmini ya eneo la makaburi ya Idefu - Makambako na taratibu za malipo zitaanza baada...

WASHINDI 56 MTOKO WA KIBINGWA BETIKA KUSHUHUDIA DERBY DIMBA LA MKAPA KESHO

0
WASHINDI 56 wa Promosheni ya Mtoko wa Kibingwa msimu wa 07 kuitazama Derby ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga itakayofanyika kesho kwenye uwanja...

KINANA: SERIKALI YA RAIS DKT. SAMIA ITACHUKUA HATUA KUKABILI ATHARI ZA MVUA.

0
Na Mwandishi Wetu Musoma MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan na serikali kwa ujumla...

TANZANIA YAIPATIA ZAMBIA SCANA ILI KUTATUA CHANGAMOTO ZA BIASHARA MPAKANI

0
Serikali za Tanzania na Zambia zimefanikiwa kufuta kero nne kati ya kero 15 zilizokuwepo awali ili kurahisisha michakato ya biashara ya nchi hizo kutegemeana...

RC KUNENGE APOKEA MSAADA WA MAGARI KUMI YA JWTZ, KUHUDUMIA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI...

0
Na Scolastica Msewa, RufijiMkuu wa mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge amepokea Msaada wa magari kumi kutoka jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa ajili...

RAIS DKT. SAMIA AMETENGUA UTEUZI WA  MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Bw. Kassim Seif Ndumbo, Mkurugenzi Mtendajiwa Halmashauri ya Wilaya ya...

MIAKA MIWILI YA FILAMU YA TANZANIA THE ROYAL TOUR, MABALOZI WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA...

0
Na Mwandishi wetu, Ngorongoro Kreta. Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi za Ujerumani, Ufaransa na Ubelgiji wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt....

BENKI YA AKIBA YAZINDUA RASMI HUDUMA YA KADI ZA VISA (ACB VISA CARDS)

0
Na Magrethy Katengu Benki ya Akiba (ACB) imezindua rasmi huduma ya kadi za VISA ambazo ni mahususi kwa kufanya huduma za miamala ya kifedha ambapo...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma April, 2024 - Mzawa Online - Page 6,
Karibu Tukuhudumie..