Monday, September 16, 2024
Home 2024 April

Monthly Archives: April 2024

LENGO LA SERIKALI NI KUBORESHA MAISHA YA KILA MWANANCHI TARAFA YA NGORONGORO-NCAA

0
Serikali kupitia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imesema kuwa ina lengo la kuboresha maisha ya wananchi wa tarafa hiyo kwa kuwaelimisha na kuwahamisha...

TAKUKURU YATATUA KERO MBALIMBALI ZA WANANCHI MKOA WA KAGERA

0
Theophilida Felician. Kagera. Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU mkoa Kagera imebainisha kuwa katika mapambano yake ya kuzuia na kupambana na rushwa hususani...

RAIS SAMIA AIPA TANROADS BIL 66 KUANZA UREJESHAJI MIUNDOMBINU YA BARABARA ILIYOHARIBIKA

0
Na Mathias Canal Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa Bilioni 66 kwa ajili ya kuanza urejeshaji wa miundombinu...

TBS YATOA WITO KUPIMA UBORA NA USALAMA WA MAJI YA KISIMA KWA MATUMIZI YA...

0
 Na Mwandishi Wetu. SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewashauri wenye visima vya maji kuhakikisha maji yanapimwa ili kukidhi ubora na kulinda usalama wa afya zao. Hayo...

TAKUKURU PWANI YAONGEZA MAPATO MACHINJIO YA MTAKUJA KIBAHA

0
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani imefanya uchambuzi wa mfumo wa ukusanyaji wa mapato yatokanayo na...

TANGAZENI MAPITO YA MUUNGANO KWA ZAWADI ZA VITABU – SAMIA

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewaelekeza Viongozi pamoja na Watanzania kwa ujumla kugawa vitabu vinavyoeleza mapito ya Muungano...

”KILA LA HERI, KAZI NJEMA”

0
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akipunga mkono kuwaaga mamia ya wananchi, walioongozwa na viongozi wa chama na...

TIGO NA BENKI YA TCB WAJA NA KIKOBA CHA KIDIGITALI

0
Na Mwandishi Wetu. Dar es Salaam, Aprili 23, 2024: Tigo Tanzania, kwa kushirikiana na Benki ya Biashara Tanzania (TCB), leo imezindua huduma ya kuweka akiba...

SEKTA YA KILIMO SASA KUSHINDANA KIMATAIFA

0
Balazi wa Norway nchini Tanzania Tine Tonnes  amesema Serikali yake itaendelea kushirikiana na Tanzania  katika kukuza  sekta ya kilimo  ili kuwawezesha wakulima hapa nchini...

WANAFUNZI WAPOKELEWE SHULE JIRANI WAENDELEE NA MASOMO HATA KAMA HAWANA SARE NA MADAFTARI SEHEMU...

0
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Aldof Mkenda ametembelea baadhi ya shule zilizoathiriwa na mafuriko ya Mto Rufiji huko Kibiti na Rufiji na...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma April 2024,
Karibu Tukuhudumie..