Sunday, September 8, 2024
Home 2024 April

Monthly Archives: April 2024

ACT-WAZALENDO IMEITAKA SERIKALI KUHAKIKISHA INASIMAMIA MASLAHI YA WAONGOZA WATALII

0
CHAMA cha ACT-WAZALENDO kimeitaka serikali kuhakikisha inasimamia maslahi stahiki ya waongoza watalii nchini. Hayo yamesemwa leo tarehe 26 Aprili 2024, na Kiongozi wa Chama hicho...

TANROADS YAWEKA KAMBI BARABARA YA MOROGORO- IRINGA KUZIBA MASHIMO MAENEO YALIYOHARIBIWA NA MVUA

0
Na Aisha Malima-Morogoro Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Morogoro inaendelea na kazi ya kuziba mashimo na kukarabati barabara kuu ya Morogoro...

MSHIKEMSHIKE MASHINDANO YA UMITASHUMTA TARAFA YA MUMBUGA YAZIDI KUUNGURUMA.

0
#Walimu makocha watoana jasho kulinda heshima ya kata zao #Hamasa yazidi kupamba moto huku timu nyingine zikipoteza matumaini #Refa wa Mchezo Mwl. Shendu Maduhu aonesha ufundi...

TBS WAWAFIKIA WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI MAONESHO YA BIASHARA MIAKA 60 YA MUUNGANO MNAZI MMOJA...

0
Na Mwandishi Wetu. SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limetoa elimu ya viwango vya ubora kwa Wajasiriamali wadogo waliojitikeza katika Maonesho ya Kibiashara ya Miaka 60...

JE WEWE NI MPENZI WA SOKA ? UNAWEZA KUSHINDA MAMILIONI YA PESA KIRAHISI KUPITIA...

0
Mshindi wa promosheni ya Soka la Afrika limeitika Raphael Songalaeli (wa pili kulia)  akipokea mfano wa Hundi ya Shilingi Milioni 10  kutoka kwa Meneja...

MWENEZI MKOA WA PWANI KUMSAKA MTENDAJI ALIYE KULA MIL. 8

0
KATIBU wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani David Mramba ameapa kulivalia njuga suala la Mtendaji ambaye anadaiwa kupokea...

TAKUKURU MARA YAWATAHADHARISHA WATAKAOENDELEA NA VITENDO VYA RUSHWA

0
Na Shomari Binda--Musoma TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Mara imesema itaendelea kuchukua hatua kali kwa watakaobainika kujihusisha na vitendo vya...

TET YAKABIDHI VITABU VYENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI 7 KWA SHULE 3 ZILIZOFUNGWA...

0
Taasisi ya Elimu Tanzania TET imekabidhi vitabu vya kusomea 422 vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 7 kwaajili ya Shule tatu zilizofungwa kwa...

TRA KAGERA YAHIMIZA ULIPAJI KODI KWA WAFANYABIASHARA, YAONYA WANAOTUMIA NJIA ZA MAGENDO

0
Na Theophilida Felician, Kagera Mamlaka ya mapato Tanzania TRA mkoa Kagera kupitia kwa meneja wake Castro John ametoa wito kwa wafanyabiashara Kagera wanaositahili kulipa kodi...

UCSAF YATAKIWA KUSIMAMIA KWA KARIBU UJENZI WA MINARA YA MAWASILIANO

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa maagizo kwa Taasisi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF)...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma April 2024,
Karibu Tukuhudumie..