Monday, September 16, 2024
Home 2024 April

Monthly Archives: April 2024

KIKOMO CHA BEI ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA PETROLI KUANZIA JUMATANO, TAREHE 3 APRILI...

0
KUMB: PPR/2024 - 01/04 TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA PETROLI KUANZIA JUMATANO, TAREHE 3 APRILI 2024 Mamlaka ya Udhibiti wa...

TUHUMA MBALIMBALI KUHUSU MAMLAKA YA HIFADHI YA ENEO LA NGORONGORO

0
Wizara ya Maliasili na Utalii inazo taarifa za madai na tuhuma mbalimbali zinazowahusu Watumishi kadhaa wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro ambazo...

SIMU MOJA ILIYONIPONYA UGONJWA WA KISUKARI

0
Jina langu ni Lulu kutoka Turkana nchini Kenya, hapo awali niliwahi kusumbuliwa na ugonjwa wa kisukari kwa muda mrefu sana lakini sikupata suluhisho kwa...

WAZIRI MKUU AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MWAKA 2024

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania kuepuka matumizi ya Dawa za Kulevya kwani yanaharibu nguvukazi ya Taifa hasa vijana ambao wanategemewa kuongoza...

MBIO ZA MWENGE, WAZIRI JAFO AHIMIZA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo ameendelea kuhimiza matumizi ya nishati safi ya kupikia ili...

WACHEZAJI BIASHARA UNITED KUMPA ZAWADI RC MTANDA YA KWENDA LIGI KUU

0
Na Shomari Binda - Musoma WACHEZAJI wa timu ya Biashara United wamesema zawadi pekee kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara Said Mtanda ni kupanda...

MUUNDO WA NEMC KUWA MAMLAKA WASHIKA KASI

0
Serikali imeanza kufanya marekebisho ya kubadili muundo wa Baraza la Taifa na Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na kuwa Mamlaka ya Usimamizi wa Mazingira...

DKT.DIMWA : AWATAKA MAKATIBU WA CCM NA WABUNGE KUSIKILIZA CHANGAMOTO ZA WANANCHI.

0
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa, amewataka Makatibu wa Wilaya, Mikoa, Wabunge na Wawakilishi nchini kufanya ziara za mara kwa mara...

SERIKALI YATAJA SABABU ZA KUFUTA LESENI MADUKA YA FEDHA

0
Peter Haule na Josephine Majura, WF, Dodoma Serikali imesema kuwa ilibatilisha leseni za maduka ya kubadilisha fedha za kigeni yaliyokutwa na makosa mbalimbali yakiwemo ya kujihusisha na...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma April 2024,
Karibu Tukuhudumie..