Wednesday, February 5, 2025
Home 2024 April

Monthly Archives: April 2024

NISHATI SAFI YA KUPIKIA YAWAFIKIA MKURANGA,ORXY YAGAWA MITUNGI 400 YA GESI NA MAJIKO YAKE.

0
Na Mwandishi Wetu, Mkuranga KAMPUNI ya Gesi ya Oryx Tanzania imeahidi kuendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ili kulinda afya za akinamama na...

WATENDAJI WAZEMBE TANESCO KUANZA KUCHUKULIWA HATUA – DKT. BITEKO

0
📌Asisitiza Kituo cha Huduma kwa Wateja kuongeza ufanisi 📌Tathmini kufanyika kwa Mkataba wa Mtoa Huduma kwa wateja TANESCO 📌 Mameneja wa Mkoa TANESCO kupimwa kwa matokeo 📌TANESCO...

WAZIRI MAVUNDE AKUTANA NA MWENYEKITI WA BODI YA EITI JIJINI DAR ES SALAAM

0
Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amekutana na kufanya kikao kifupi na Mwenyekiti wa Bodi ya EITI Rt. Helen Clark katika Ofisi Ndogo za...

WAZIRI MKUU: MAPATO YA NDANI YAFIKIA TRILIONI 17

0
Ahimiza utoaji wa risiti halali za kielektroniki WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kati ya Julai, 2023 na Januari, 2024 Serikali imefanikiwa kukusanya sh. trilioni 17.1...

WAZIRI MKUU: SERIKALI YATUMIA SH. TRILIONI 10 UJENZI WA SGR

0
*Ataja hatua zilizofikiwa kwenye miradi nane ya kielelezo WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetumia sh. trilioni 10.69 kwa ajili ya ujenzi wa reli ya...

WANANCHI MVOMERO TUTUMIE FURSA HII YA MAADHIMISHO YA AFYA DUNIANI KUCHUNGUZA AFYA ZETU-DC NGULI.

0
Na.Elimu ya Afya kwa Umma. Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro Mhe.Judith Nguli ametoa wito kwa wananchi wa Wilaya hiyo kutumia fursa ya Maadhimisho...

TANZANIA YAPONGEZWA USIMAMIZI RASILIMALI MADINI, MAFUTA NA GESI ASILIA

0
📌Dkt. Biteko akutana na Mwenyekiti wa Bodi ya EITI ya nchini Norway 📌Ushirikiano wa EITI na TEITI kuimarishwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe....

ABIRIA WA USAFIRI WA RELI WAKWAMA SAA 48 MLIMBA.

0
Zaidi ya abiria 500 wanaotumia usafiri wa reli ya Tazara kutoka Makambako mkoani Njombe kuelekea Mkamba wilayani Kilombero wamekwama kwa zaidi ya saa 48...

TANZANIA YASISITIZA UHURU WA BIASHARA NA USALAMA WA NCHI

0
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah amesema Tanzania inaunga mkono harakati za kuwezesha usafirishaji wa bidhaa kwa huru na...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma April, 2024 - Mzawa Online - Page 14,
Karibu Tukuhudumie..