NAIBU WAZIRI KIKWETE ; MATUMIZI YA MFUMO WA USAILI WA KIDIGITALI UNAKUZA UWAZI KWENYE...
Na. Lusungu Helela-Dar es Salaam
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete  amesema kitendo cha Sekretarieti...
KIKONGWE AUAWA NA MJUKUU WAKE MOROGORO
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia Waaki Athumani mkazi wa Mzumbe wilayani Mvomero mwenye umri wa miaka 28 kwa tuhuma za kumuua bibi yake...
TUMIENI BARAZA LA USHINDANI (FCT) KUSTAWISHA USHINDANI WA HAKI NA KUMLINDA MLAJI KATIKA SOKO
Katibu Tawala Msaidizi wa Idara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mkoa wa Mbeya Bi. Anna Mwambene amewaasa wafanyabiashara wa Mkoa huo na Watanzania kwa...
RAIS DK. MWINYI AWAONGOZAVIONGOZI DUA YA HAYATI KARUME
Dk. Mpango, Kinana, Nchimbi, Majaliwa washiriki
Na Mwandishi Wetu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaongoza wananchi na...
SERIKALI INAZINGATIA HAKI ZOTE KWA WANAOHAMA KWA HIARI NGORONGORO
Na Mwandishi Wetu.
Serikali imefafanua kuwa itaendelea kuzingatia utoaji wa haki zote kwa wananchi wanaoamua kwa hiari kuhama kutoka kwenye Hifadhi ya Ngorongoro kupisha uhifadhi...
DK. NCHIMBI AWEKA MSIMAMO DIPLOMASIA YA UCHUMI NA SIASA KUNUFAISHA TANZANIA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema CCM, chini ya uongozi wa Mwenyekiti wake, Ndugu Dk. Samia Suluhu...
KAMA UTANI VILE NIKAJIKUTA NAOA MZUNGU KUTOKA CANADA
Jina langu ni Mustafa kutoka Katui nchini Kenya, nina miaka 29 sasa nikiwa ni Baba wa watoto watatu na mke mmoja ambaye na mpenda...
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA AWATAKA RUWASA KUZINGATIA USALAMA WA MATANKI YA MAJI...
NA Ashrack Miraji Same Kilimanjaro
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndg. Godfrey Mnzava amewataka RUWASA kuzingatia usalama wa makazi ya wananchi wanaozunguka...
JINSI NILIVYOMFUKUZA KAZI BOSI ALIYEKATAA KUNIONGEZA MSHAHARA
Jina langu ni Debora kutokea Nairobi nchini Kenya, katika umri wangu nimekuja kujua katika hii dunia kuna watu ambao wana roho za ajabu sana,...