MAKAMU WA RAIS AKIWASILI ARUSHA KUSHIRIKI KUMBUKIZI YA SOKOINE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda wakati alipowasili mkoani Arusha kwaajili...
TUENDELEE KUYAISHI TULIYOJIFUNZA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN -MAJALIWA
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka waumini wa dini ya kiislam kuendelea kuyaishi yale waliyojifunza wakati Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Amesema kuwa lengo ni kuhakikisha jamii...
DAWA YA BAHATI ILIYONIPATIA KSH 1.8 MILIONI KWA HARAKA
Katika maisha yako umewahi kusikia watu wakisema mtu fulani ana bahati maishani?, ukweli ni kwamba kuna watu wana bahati sana katika maisha yao, unaona...
WOMEN LIFT HEALTH YA FANYA KONGAMANO LA KIMATAIFA TANZANIA, DKT. MPANGO ATOA NENO
Na Cleopatra Mgonja, Dar es Salaam
April 6 2024 Tanzania ilipata nafasi ya kuwa mwenyeji wa kongamano Womelifthealth Global uliohudhuriwa na nchi 41 ulimwenguni.
Kongamano...
DIWANI ASHA MUHAMED ATOA SWADAKA YA MKONO WA EID EL FITR KWA WANAFUNZI NA...
Na Shomari Binda-Musoma
DIWANI wa viti maalum manispaa ya Musoma Asha Muhamed ametoa swadaka ya mkono wa Eid el Fitr kwa wanafunzi na watu wenye...
KAMPENI YA “VOTE NOW” YAZINDULIWA TANAPA
Na Edmund Salaho/Arusha.
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limezindua kampeni mahususi ya kupigia kura vivutio vyake viwili ambavyo ni Hifadhi ya Taifa Serengeti...
MHANDISI SEFF AMTAKA MKANDARASI CHICO KUONGEZA KASI UJENZI WA BARABARA ZA LAMI MRADI WA...
Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff amemtaka Mkandarasi ambaye ni China Henan International Cooperation (CHICO) kuongeza...
WAZAZI, WALEZI WAPEWA SOMO MALEZI BORA KUPUNGUZA WATOTO WA MTAANI, YATIMA.
Na Boniface Gideon, TANGA
Wimbi kubwa la watoto wa mtaani na yatima limekuwa likiongezeka kila siku huku wadau mbalimbali yakiwemo mashirika na taasisi mbalimbali zikijitolea...