WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU WALILIA BIMA YA AFYA
Baadhi ya wamiliki wa vituo vya kulelea watoto waotoka katika mazingira magumu wameiomba Serikali kuwapatia bima ya Afya ili kuweza kukabiliana na magojwa yanayowakabili...
WANANCHI SINGA WAIOMBA SERIKALI DHAMANA KUHUDUMIA MAJI KIJIJINI KWAO
Ashrack Miraji Kilimanjaro
Mwenyekiti wa kitongoji Cha Singa Juu, Ignas Mallya ameyasema hayo wakati akiongoza kikao cha wananchi kwa lengo la kuwachagua wawakilisha watatu watakao...
RAIS DKT. SAMIA AMEWASILI ARUSHA KUSHIRIKI KUMBUKIZI YA SOKOINE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro KIA,tayari kwaajili ya kuelekea Wilayani Monduli...
NDOA YANGU IMENUSURIKA KUVUNJIKA BAADA YA KUKOMESHA MPANGO WA KANDO
Kwa majina naitwa Sauda mkazi wa Mombosa, Kenya, nimeolewa na tayari nina watoto watatu na mume wangu wa ndoa, Saidi ambaye tulifunga ndoa miaka...
ULEGA AONGOZA VIONGOZI WA HALMSHAURI YA MKURANGA KUTOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI...
Na Scolastica Msewa, RufijiWaziri wa Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa jimbo la Mkuranga Mheshimiwa Abdallah Ulega ameongoza viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya...
HATUTORUHUSU UTAPELI KATIKA ZOEZI LA KUHAMA KWA HIYARI KWA WANACHI WA NGORONGORO- DC MSANDO
Na Mwandishi wetu, Handeni.
Mkuu wa Wilaya ya Handeni mheshimiwa Wakili Albert Msando amesema serikali haitoruhusu mtu yeyote kufanya vitendo vya utapeli na udanganyifu katika...
TAARIFA KUHUSIANA NA MADAI YA WANANCHI 135 WALIOHAMIA MSOMERA
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imetoa ufafanuzi kwa umma kuhusiana na madai ya wananchi 135 waliohamia katika kijiji cha Msomera wilayani Handeni mkoani Tanga...
ASILIMIA 90 YA WASTAAFU NCHINI HUPOTEZA MAFAO YAO KWA KUWEKEZA BILA UZOEFU
Na. Scolastica Msewa, Dar es Salaam Asilimia 90 ya Wastaafu nchini hupoteza fedha zao za mafao kwa sababu ya kuwekeza fedha zao wakiwa...
MALAIGWANAN WAKATA SHAURI KUHAMA HIFADHI NGORONGORO
Na Mwandishi wetu, Ngorongoro.
Baadhi ya Wazee wa kimila (Malaigwanan) kutoka ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro wamekata shauri na kuamua kuondoka ndani ya hifadhi hiyo...