NAIBU WAZIRI MKUU ATEMBELEA BANDA LA TIGO , MAADHIMISHO YA USALAMA NA AFYA KAZINI
Mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Kimataifa ya Usalama na Afya mahala pa kazi , Naibu Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Doto Biteko akipata...
SHIWACHANDO KAGERA YAWAHIMIZA WANAUME KUYARIPOTI MATUKIO YA UKATILI YANAYOWAKUMBA KATIKA NDOA
Theophilida Felician Kagera.
Shirika la wanaume wanaopitia changamoto mbalimbali kwenye maisha ya ndoa limetoa wito kwa wanaume Mkoa Kagera wajitokeze wazi kuziripoti changamoto za ukatili...
SERIKALI YATOA BIL 1.5 UREJESHAJI MIUNDOMBINU YA BARABARA MWANZA
Serikali imetoa shilingi Bilioni 1.5 kwa ajili ya kuanza urejeshaji wa miundombinu ya barabara zilizoharibika maeneo mbalimbali Mkoani Mwanza.
Fedha hizo zimetolewa na serikali kwenda...
MWENYEKITI WAZAZI WA CCM TAIFA AKABIDHI MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI NA KIBITI
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ni mfariji Mkuu nchini amekuwa wa kwanza kutoa misaada ya faraja kwa waathirika wa matukio mbalimbali nchini ikiwemo waathirika...
KUMI NA MOJA WANAHOJIWA NA TAKUKURU KWA TUHUMA ZA KUJIGAWIA VYAKULA VYA WAATHIRIKA WA...
Na Scolastica Msewa, RufijiWatendaji wa kata na kijiji pamoja na vibarua tisa waliokua wakifanya shughuli ya kupokea misaada kwaajili ya waliokumbwa na mafuriko wilayani...