ACT-WAZALENDO IMEITAKA SERIKALI KUHAKIKISHA INASIMAMIA MASLAHI YA WAONGOZA WATALII
CHAMA cha ACT-WAZALENDO kimeitaka serikali kuhakikisha inasimamia maslahi stahiki ya waongoza watalii nchini.
Hayo yamesemwa leo tarehe 26 Aprili 2024, na Kiongozi wa Chama hicho...
TANROADS YAWEKA KAMBI BARABARA YA MOROGORO- IRINGA KUZIBA MASHIMO MAENEO YALIYOHARIBIWA NA MVUA
Na Aisha Malima-Morogoro
Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Morogoro inaendelea na kazi ya kuziba mashimo na kukarabati barabara kuu ya Morogoro...
MSHIKEMSHIKE MASHINDANO YA UMITASHUMTA TARAFA YA MUMBUGA YAZIDI KUUNGURUMA.
#Walimu makocha watoana jasho kulinda heshima ya kata zao
#Hamasa yazidi kupamba moto huku timu nyingine zikipoteza matumaini
#Refa wa Mchezo Mwl. Shendu Maduhu aonesha ufundi...
TBS WAWAFIKIA WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI MAONESHO YA BIASHARA MIAKA 60 YA MUUNGANO MNAZI MMOJA...
Na Mwandishi Wetu.
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limetoa elimu ya viwango vya ubora kwa Wajasiriamali wadogo waliojitikeza katika Maonesho ya Kibiashara ya Miaka 60...
JE WEWE NI MPENZI WA SOKA ? UNAWEZA KUSHINDA MAMILIONI YA PESA KIRAHISI KUPITIA...
Mshindi wa promosheni ya Soka la Afrika limeitika Raphael Songalaeli (wa pili kulia) akipokea mfano wa Hundi ya Shilingi Milioni 10 kutoka kwa Meneja...