Saturday, December 21, 2024
Home 2024 April 25

Daily Archives: April 25, 2024

MWENEZI MKOA WA PWANI KUMSAKA MTENDAJI ALIYE KULA MIL. 8

0
KATIBU wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani David Mramba ameapa kulivalia njuga suala la Mtendaji ambaye anadaiwa kupokea...

TAKUKURU MARA YAWATAHADHARISHA WATAKAOENDELEA NA VITENDO VYA RUSHWA

0
Na Shomari Binda--Musoma TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Mara imesema itaendelea kuchukua hatua kali kwa watakaobainika kujihusisha na vitendo vya...

TET YAKABIDHI VITABU VYENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI 7 KWA SHULE 3 ZILIZOFUNGWA...

0
Taasisi ya Elimu Tanzania TET imekabidhi vitabu vya kusomea 422 vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 7 kwaajili ya Shule tatu zilizofungwa kwa...

TRA KAGERA YAHIMIZA ULIPAJI KODI KWA WAFANYABIASHARA, YAONYA WANAOTUMIA NJIA ZA MAGENDO

0
Na Theophilida Felician, Kagera Mamlaka ya mapato Tanzania TRA mkoa Kagera kupitia kwa meneja wake Castro John ametoa wito kwa wafanyabiashara Kagera wanaositahili kulipa kodi...

UCSAF YATAKIWA KUSIMAMIA KWA KARIBU UJENZI WA MINARA YA MAWASILIANO

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa maagizo kwa Taasisi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF)...

LENGO LA SERIKALI NI KUBORESHA MAISHA YA KILA MWANANCHI TARAFA YA NGORONGORO-NCAA

0
Serikali kupitia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imesema kuwa ina lengo la kuboresha maisha ya wananchi wa tarafa hiyo kwa kuwaelimisha na kuwahamisha...

TAKUKURU YATATUA KERO MBALIMBALI ZA WANANCHI MKOA WA KAGERA

0
Theophilida Felician. Kagera. Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU mkoa Kagera imebainisha kuwa katika mapambano yake ya kuzuia na kupambana na rushwa hususani...

RAIS SAMIA AIPA TANROADS BIL 66 KUANZA UREJESHAJI MIUNDOMBINU YA BARABARA ILIYOHARIBIKA

0
Na Mathias Canal Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa Bilioni 66 kwa ajili ya kuanza urejeshaji wa miundombinu...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma April 25, 2024,
Karibu Tukuhudumie..