TIGO NA BENKI YA TCB WAJA NA KIKOBA CHA KIDIGITALI
Na Mwandishi Wetu.
Dar es Salaam, Aprili 23, 2024: Tigo Tanzania, kwa kushirikiana na Benki ya Biashara Tanzania (TCB), leo imezindua huduma ya kuweka akiba...
SEKTA YA KILIMO SASA KUSHINDANA KIMATAIFA
Balazi wa Norway nchini Tanzania Tine Tonnes amesema Serikali yake itaendelea kushirikiana na Tanzania katika kukuza sekta ya kilimo ili kuwawezesha wakulima hapa nchini...
WANAFUNZI WAPOKELEWE SHULE JIRANI WAENDELEE NA MASOMO HATA KAMA HAWANA SARE NA MADAFTARI SEHEMU...
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Aldof Mkenda ametembelea baadhi ya shule zilizoathiriwa na mafuriko ya Mto Rufiji huko Kibiti na Rufiji na...
DC SAME AMEISHUKURU WIZARA YA AFYA NA TAMISEMI KWA KURATIBU, KUSIMAMIA UTOAJI WA CHANJO...
Ashrack Miraji Same Kilimanjaro
Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe. Kasilda Mgeni ameishukuru Wizara ya Afya na Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za...
NCAA YASEMA HAKUNA MWANANCHI ATAKAYEPATA NYUMBA KINYUME NA UTARATIBU.
NA Mwandishi wetu, Karatu.
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imesema kwamba ipo makini kuhakikisha kuwa kila kaya inayojiandikisha kuhama kwa hiyari ndani ya hifadhi...