MIAKA MIWILI YA FILAMU YA TANZANIA THE ROYAL TOUR, MABALOZI WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA...
Na Mwandishi wetu, Ngorongoro Kreta.
Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi za Ujerumani, Ufaransa na Ubelgiji wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt....
BENKI YA AKIBA YAZINDUA RASMI HUDUMA YA KADI ZA VISA (ACB VISA CARDS)
Na Magrethy Katengu
Benki ya Akiba (ACB) imezindua rasmi huduma ya kadi za VISA ambazo ni mahususi kwa kufanya huduma za miamala ya kifedha ambapo...
WIZARA YA MALIASILI YAFUZU HATUA YA MAKUNDI MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU MEI MOSI...
Timu ya Wizara ya Maliasili na Utalii ya Mpira wa Miguu, leo Aprili 18, 2024 imefuzu hatua ya makundi kwenye Mashindano ya Mei Mosi...
MA-RC, MA-DC TOENI TAARIFA ZA MICHANGO YA WADAU KWENYE MAAFA – MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kasim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya waweke utaratibu wa kutoa taarifa za michango inayotolewa na wadau kwenye maafa...
CHATANDA ATEMBELEA KAMBI ZA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI AWAPA MSAADA WA MILIONI 76
Na scolastica Msewa, RufijiMwenyekiti wa UWT Taifa Mary Pius Chatanda (MCC) ameonya jamii kuacha kutumia siasa kwenye kambi zilizotengwa na serikali kwa ajili ya...