TIGO WAJA NA FIBER KWA AJILI YA INTANETI NYUMBANI NA MAOFISINI , SOMA HAPA...
* Mji wa Mbweni jijini Dar es Salaam kuwa mnufaika wa kwanza wa huduma hii ya intaneti.
Dar es Salaam, Aprili 16, 2024: Kampuni inayoongoza...
BODI YA MFUKO WA BARABARA YAUNDA MABARAZA KWA WAFANYAKAZI
Kaimu Mtendaji Mkuu Bodi ya mfuko wa Barabara Rashidi Kalimbaga amewataka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA pamoja na TANROADS kutumia vizuri...
PM. MAJALIWA AWASILI MKOANI MOROGORO KUKAGUA ATHARI ZILIZOSABABISHWA NA MAFURIKO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 16, 2024 amewasili Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro ambapo atakagua athari zilizosababishwa na mafuriko yaliyotokana...
MAJALIWA AFIKA MLIMBA KUKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu Majaliwa ametembelea wilayani Kilombero kujionea maeneo mbalimbali yaliyokumbwa na changamoto ya mafuriko ili kuchukua hatua
Akitoa...
TBS WAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI WAELEZA JITIHADA ZA SERIKALI KUWAINUA WAJASIRIAMALI...
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kipindi cha miaka mitatu, jumla ya leseni za ubora wa bidhaa 2,106 zilitolewa kwa wazalishaji mbalimbali wa bidhaa...
ULEGA AKABIDHI BOTI YA THAMANI YA MILIONI 42 RUFIJI
Mkuu wa mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge amepokea ahadi ya Msaada wa boti yenye mashine kutoka kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi ambaye pia...