Baraza la Ushindani (FCT) latoa Mafunzo kwa Wadau kuimarisha Soko lenye Usawa
Baraza la Ushindani (FCT) limeandaa mafunzo kwa wadau wake wakiwemo wafanyabiashara, watoa huduma na walaji ikiwemo jamii kwa lengo la kuwaelimisha kuhusu shughuli za...
RC KUNENGE APOKEA TANI 300 ZA CHAKULA KUTOKA KWA RAIS DKT. SAMIA KWA AJILI...
Mkuu wa mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge amepokea msaada wa mchele, Maharage na unga tani 300 kutoka kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya muungano...
POLISI KAGERA KUCHUNGUZA KIFO CHA MAUAJI YA MWANAFUNZI ALIYEKUTWA AMEUWAWA KIKATILI
Theophilida Felician, Kagera
Jeshi la polisi Mkoani Kagera linafanya uchunguzi wa kifo cha mtoto mwenye umri wa miaka 11 mwanafunzi wa darasa la sita (6)...
HAJI MANARA AJIUNGA NA PARIMATCH
KAMPUNI ya Ubashiri nchini Parimatch imemtangaza Mwanaharakati Haji Manara kama Balozi mpya wa Kampuni hiyo ili kuitangaza vizuri ndani na nje ya nchi Kampuni...
UKABILA USIPEWE NAFASI, TUJENGE TAIFA – KINANA
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahman Kinana amewasisitiza wanachama wa chama hicho na wananchi kwa ujumla kuachana na tabia za ukabila...