TUFIKISHIE SALAMU ZA SHUKRANI KWA DKT SAMIA KUTUOKOA KUTOKA NDANI YA HIFADHI; WANANCHI MSOMERA.
Na Mwandishi wetu, Handeni.
Wananchi waliohama kwa hiyari kutoka eneo la hifadhi ya Ngorongoro kwenda Kijiji cha Msomera wilayani Handeni mkoani Tanga wamemuomba mkuu wa...