WALIMU 65 WANUFAIKA NA MAFUNZO YA TEHAMA KUPITIA KLABU YA ROTARY DAR
WALIMU waaswa kuweka muda wa ziada kujiendeleza kielimu hasa katika fani ya Masomo ya tehama ili kuweza kuwafundisha wanafunzi Mashule kwa kisasa zaidi na...
DKT.NCHIMBI AKITAKA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWL. NYERERE KUSIMAMIA MAADILI YA TAIFA
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Dkt. Emmanuel Nchimbi amekitaka Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kuendelea kusimamia Maadili ya Taifa, Kama ambavyo Muasisi...
TUENDELEE KUUTHAMNI MUUNGANO WETU-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wote, Bara na Visiwani waendelee kuulinda, kuuenzi, kujivunia na kuuthamini Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
“Kwa heshima na taadhima...
ARSO NA TBS WAWAKUTANISHA WATAALAM KUANDAA VIWANGO SEKTA YA AFYA AFRIKA.
SHIRIKA la Viwango Afrika (ARSO) kwa kushirikiana na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wamewakutanisha wataalamu wa masuala ya afya kutoka nchi 11 barani Afrika...
MADEREVA BODABODA MUHEZA WAFIKIWA NA ELIMU YA USALAMA BARABARANI
Na Mwandishi Wetu,Muheza
ELIMU ya Usalama barabarani inayotolewa na Shirika la Amend kwa kushirikiana na Ubalozi wa Uswisi nchini Tanzania imewafikia madereva bodaboda wa Wilaya...
JINSI NILIVYOTAPELIWA FEDHA NILIZOKUSANYA KWA MIAKA MITANO
Jina langu ni Zabloni, unajua migogoro ya mashamba na viwanja ni mingi sana kwenye mahakama zetu, na yote inasababishwa na watu ambao si waaaminifu,...
NAIBU WAZIRI NDERIANANGA AONGOZA DUA YA KUMUOMBEA RAIS SAMIA
Na. Mwandishi wetu- Dodoma
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga ameongoza dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya...