WAZAZI NA WALEZI WAPELEKENI WATOTO KUSOMA ELIMU YA MUNGU: MTEMVU
Na Magrethy Katengu
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Dar es salaam Abbas Mtemvu amewaomba Wazazi na Walezi kuhakikisha wanawepeleka watoto kusoma elimu...
ZAIDI YA Sh1.6 BILLIONI KUKAMILISHA MIRADI SITA YA MAENDELEO WILAYANI MWANGA
Ashrack Miraji Same Kilimanjaro
Mkuu wa Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro, Abdallaah Mwaipaya amesema jumla ya miradi Sita ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya...
NAIBU WAZIRI KIKWETE ; MATUMIZI YA MFUMO WA USAILI WA KIDIGITALI UNAKUZA UWAZI KWENYE...
Na. Lusungu Helela-Dar es Salaam
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema kitendo cha Sekretarieti...
KIKONGWE AUAWA NA MJUKUU WAKE MOROGORO
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia Waaki Athumani mkazi wa Mzumbe wilayani Mvomero mwenye umri wa miaka 28 kwa tuhuma za kumuua bibi yake...
TUMIENI BARAZA LA USHINDANI (FCT) KUSTAWISHA USHINDANI WA HAKI NA KUMLINDA MLAJI KATIKA SOKO
Katibu Tawala Msaidizi wa Idara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mkoa wa Mbeya Bi. Anna Mwambene amewaasa wafanyabiashara wa Mkoa huo na Watanzania kwa...
RAIS DK. MWINYI AWAONGOZAVIONGOZI DUA YA HAYATI KARUME
Dk. Mpango, Kinana, Nchimbi, Majaliwa washiriki
Na Mwandishi Wetu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaongoza wananchi na...
SERIKALI INAZINGATIA HAKI ZOTE KWA WANAOHAMA KWA HIARI NGORONGORO
Na Mwandishi Wetu.
Serikali imefafanua kuwa itaendelea kuzingatia utoaji wa haki zote kwa wananchi wanaoamua kwa hiari kuhama kutoka kwenye Hifadhi ya Ngorongoro kupisha uhifadhi...