WAZIRI MKUU AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MWAKA 2024
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania kuepuka matumizi ya Dawa za Kulevya kwani yanaharibu nguvukazi ya Taifa hasa vijana ambao wanategemewa kuongoza...
MBIO ZA MWENGE, WAZIRI JAFO AHIMIZA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo ameendelea kuhimiza matumizi ya nishati safi ya kupikia ili...
WACHEZAJI BIASHARA UNITED KUMPA ZAWADI RC MTANDA YA KWENDA LIGI KUU
Na Shomari Binda - Musoma
WACHEZAJI wa timu ya Biashara United wamesema zawadi pekee kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara Said Mtanda ni kupanda...
MUUNDO WA NEMC KUWA MAMLAKA WASHIKA KASI
Serikali imeanza kufanya marekebisho ya kubadili muundo wa Baraza la Taifa na Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na kuwa Mamlaka ya Usimamizi wa Mazingira...
DKT.DIMWA : AWATAKA MAKATIBU WA CCM NA WABUNGE KUSIKILIZA CHANGAMOTO ZA WANANCHI.
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa, amewataka Makatibu wa Wilaya, Mikoa, Wabunge na Wawakilishi nchini kufanya ziara za mara kwa mara...
SERIKALI YATAJA SABABU ZA KUFUTA LESENI MADUKA YA FEDHA
Peter Haule na Josephine Majura, WF, Dodoma
Serikali imesema kuwa ilibatilisha leseni za maduka ya kubadilisha fedha za kigeni yaliyokutwa na makosa mbalimbali yakiwemo ya kujihusisha na...
TARURA KAGERA YAFUNGUA BARABARA MPYA KM. 826
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Kagera imefanikiwa kufungua mtandao wa barabara mpya wa Km. 826 katika kipindi cha miaka...
KARAFUU YAINGIZA SHILINGI BILIONI 36 MOROGORO
KATIKA msimu wa 2023 Mkoa wa Morogoro umefanikiwa kuzalisha tani 2,000 za karafuu zenye thamani ya Shilingi bilioni 36.
Hayo yamesemwa na Katibu Tawala wa...