WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUGUSHI NYARAKA ZA VIKAO VYA KAMATI YA SHULE – GEITA
Machi 18, 2024, shauri la Rushwa na Uhujumu Uchumi Na. 7060/2024, lilifunguliwa mbele ya Mhe. Atupye Benson Fungo ambaye ni Hakimu Mkazi wa Mahakama...
AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 20 GEREZANI KWA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA
Kushinda kesi…Ecc 23.2022
Machi 19, 2024 shauri la uhujumu uchumi Na 23/2022 dhidi ya PAULO NGILORITI TEVELI limeamriwa katika Mahakama ya Wilaya ya Same, mbele...
MGOMBEA WA CCM NJOFU COSTANTINE ASHINDA KWA KISHINDO UDIWANI KATA YA MSHIKAMANO
- AWASHUKURU WANANCHI KWA KUMUAMINI
Na Shomari Binda-Musoma
MGOMBEA udiwani Kata ya Mshikamano manispaa ya Musoma kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Njofu Constantine ameshinda nafasi hiyo...
WATANZANIA WANAJIVUNIA MIAKA 3 YA UWEZO MKUBWA; NCHIMBI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amesema kuwa Watanzania wote kwa ujumla wao wanajivunia uwezo mkubwa wa kiuongozi,...
WIZARA YA MADINI YAANZA KUTEKELEZA MAELEKEZO YA KAMATI YA BUNGE
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amefanya ziara katika Mgodi wa Williamson Diamond Limited uliopo Wilaya ya Kishapu Mkoa wa Shinyanga kwa lengo...
BUKOBA DC YA PAMBANA KUHAKIKISHA JAMII INATUMIA UNGA WA VIRUTUBISHI ILI KUBORESHA LISHE
Theophilida Felician Kagera.
Imeelezwa kwamba katika hali ya kupambana na changamoto ya kuutokomeza utapiamlo na udumavu Halmashauri ya Bukoba Mkoani Kagera jitihada mbalimbali zimekuwa zikifanyika...
PPRA yaanzisha ofisi tano za Kanda kusogeza huduma kwa wananchi
Mamalaka ya Udhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA) imefungua Ofisi katika Kanda Tano nchini na kuwa na jumla ya kanda sita ikiwa ni sehemu ya...
WAZIRI KAIRUKI AKAGUA MABANDA YA MAADHIMISHO YA SIKU YA MISITU DUNIANI NA SIKU YA...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) leo Machi 20, 2024 amekagua mabanda ya Maonesho yatakayotumika katika Maadhimisho ya Siku ya Misitu...
RC BABU ATAKA ELIMU YA HEWA YA UKAA IWAFIKIWE WANANCHI
Na. John I. Bera – SAME
MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu, ametoa rai kwa wataalamu wa misitu nchini kutoa elimu kwa wananchi...
WANANCHI WAJITOKEZA KUPIGA KURA KUMUCHAGUA DIWANI SENGEREMA.
Wananchi wa Kata ya Buzilasoga wilayani Sengerema Mkoani Mwanza wamejitokeza kupiga kura kumuchagua diwani wa Kata hiyo kwenye uchaguzi mdogo.
Aidha uchaguzi huo unafanyika kutokana...