WAKAANGA SAMAKI SOKO LA FERI DAR KUFUNGIWA MTAMBO WA GESI YA KUPIKIA KURAHISISHA SHUGHULI...
KAMPUNI ya Oryx Gas Tanzania imeahidi kufunga mtambo mkubwa wa nshati safi ya kupikia katika Soko la Samaki la Kimataifa Feri jijini Dar es...
WAZIRI MAVUNDE AELEKEZA KUFUTWA KWA LESENI NA MAOMBI YA LESENI 2648
Jumla ya eneo la ekari Milioni 13 zinashikiliwa na watu 6
Awataka wenye Leseni za utafiti kutowatumia wachimbaji wadogo kama sehemu ya utafiti
Maeneo mengi kugawiwa...
JINSI NILIVYOBEBA UJAUZITO BAADA YA KEJELI NYINGI
Naitwa Mama Tamara kutokea Mombasa nchini Kenya, naweza kusema ilisalia kidogo tu niweze kuondoka katika ndoa yangu baada ya maneno kutoka kwa ndugu wa...
TANAPA YAONGEZA MAPATO, SEKTA YA UTALII YAIMARIKA KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITATU
Kamishna wa Uhifadhi kutoka Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Juma Kuji, akizungumza alipokuwa akiwasilisha mada kuhusu mafanikio ya Shirika hilo kwenye mkutano na...
SERIKALI YAELEKEZWA KUONGEZA NGUVU MAPAMBANO DHIDI YA VIRUSI VYA UKIMWI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imeshauri serikali kuongeza nguvu ya mapambano dhidi ya virusi vya UKIMWI katika maeneo...
WATU ZAIDI YA 400 WAATHIRIWA NA MAFURIKO KILOSA
Jumla ya watu 1404 wameathirika na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha katika Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro na nyumba 351 zimeingia maji pamoja na...
TGC KUTEKELEZA SHERIA YA MADINI YA MWAKA 2010, MADINI YOTE KUONGEZEWA THAMANI HAPA HAPA...
KATIKA Kutekeleza Sheria ya Madini ya mwaka 2010 na marekebisho yake ya 2017 inayozuia madini ghafi kusafirishwa nje ya nchi, Kituo cha Jemolojia Tanzania...
BONANZA LA MICHEZO LANOGESHA SIKU YA MZUMBE NA KAMBI YA UJASIRIAMALI
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. William Mwegoha amesema Chuo hicho kitaendelea kudumisha utamaduni wa michezo baina ya wafanyakazi na wanafunzi ili kudumisha...
MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA MRADI WA MAJI SAME MWANGA KOROGWE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameagiza uongozi wa Wizara ya Maji pamoja na watendaji wa Wizara...
TFS,MBUNGE MUHONGO WAANZISHA KAMPENI YA KUDUMU YA UPANDAJI MITI KUTUNZA MAZINGIRA
Na Shomari Binda-Musoma
IKIWA leo ni siku ya misitu duniani yenye kauli mbiu "Misitu na Ubunifu" Wakala wa Misitu TFS wilaya ya Musoma na ofisi...