MHE. KITANDULA AFUNGA MAFUNZO YA ASKARI 298 WA JESHI LA UHIFADHI WALIOHITIMU MAFUNZO YA...
Na Kassim Nyaki, Mlele Katavi.
Naibu waziri wa Maliasili na utalii Mhe. Dunstan Kitandula (Mb) leo tarehe 23 machi, 2024 amefunga mafunzo ya kijeshi wa...
“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema anawaheshimu na kuwakubali wana CCM wa Pemba kwa misimamo yao thabiti...
TANZANIA NA KENYA ZAKUBALIANA KUTATUA VIKWAZO VYA KIBIASHARA VISIVYO VYA KIUSHURU
Tanzania na Kenya zimekubaliana kuendelea kutatua vikwazo vya kibiashara visivyo vya kiushuru kwa kuwa na Mpango wa pamoja wa kuwianisha tozo, ada , ushuru,...
BEI YA NISHATI SAFI YA GASI IPUNGUE ILI HATA FAMILIA DUNI ZIWEZE KUACHANA NA...
Na Scolastica Msewa, Kibaha.Mkurugenzi Mtendaji Jukwaa la Wazalendo huru Dk. Mohamed Mwampogwa ameomba serikali kuendelea kupigania kupungua kwa bei ya gasi ili hata zile...
BARABARA YA BARAFU – DARAJANI KUJENGWA KWA LAMI
Waziri wa Nchi OR-MU na Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof. Kitila Mkumbo akiwa ziarani katika Kata ya Mburahati amesema barabara ya Barafu -...
HII NDIO DAWA YA KUONDOKANA NA MADENI YA FEDHA
Naitwa Hassan mkazi wa Nairobi, Kenya, niliwahi kupitia hali ya kupata fedha mwisho wa mwezi lakini yote inaisha kwenye kulipa madeni yangu, kusema kweli...
JESHI LA POLISI MOROGORO LAMSHIKILIA MTU MMOJA KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA MKEWE
JESHI la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Mohamedi Omari mkazi wa kijiji cha Kimamba A wilayani Kilosa kwa tuhuma...
RC MTANDA AWAITA WAFANYABIASHARA WAWEKEZAJI KUWEKEZA MKOA WA MARA
Na Shomari Binda- Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara Said Muhamed Mtanda amewaita wafanyabiashara na wawekezaji kuwekeza mkoa wa Mara kwani ni salama na una...
TIGO YACHAGULIWA KUWANIA TUZO YA ITU WSIS 2024 , SOMA HAPA KUPIGA KURA
Na Mwandishi Wetu.
Tigo yachaguliwa kuwania Tuzo ya ITU WSIS 2024 Kupitia mradi wa UCSAF (Mfuko wa mawasiliano kwa wote) -Zanziba ...
MIRADI YA BARABARA YAFIKIA 75% HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA – TARURA
Na.Catherine Sungura, Singida
Utekelezaji wa miradi ya barabara katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida upo hali nzuri kwa asilimia 75 ya miradi yote inayotekelezwa na...