MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO YAKANUSHA MALALAMIKO YA Bi.NGORKISHO LOWASSA SONGOPA
Baada ya kusambaa kwa taarifa na malalamiko kuhusiana na moja ya wananchi aliyetambulika kwa jina la Bi.Ngorkisho Lowassa Songopa kuwa hajalipwa fidia ya maendelezo...
MAJALIWA ATAKA UWEKEZAJI ATCL UWE KICHOCHEO CHA UKUAJI WA UCHUMI.
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Uchukuzi kusimamia ipasavyo Shirika la Ndege Tanzania ili kuhakikisha uwekezaji mkubwa uliofanywa unaleta matokeo chanya na kuwa...
MPANGO WA MMMAM WATAKIWA KUTEKELEZWA KWA UFANISI ILI KULETA TIJA ILIYOKUSUDIWA
Na Theophilida Felician, Kagera
Wadau mbalimbali wanaohusika na utekelezaji wa programu jumuishi ya malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto (MMMAM 2021-2026) wamekutana na...
WARATIBU WA MAFUNZO YA TEWW WANOLEWA USIMAMIZI, UENDESHAJI WA MAFUNZO YA ELIMU YA SEKONDARI...
Na Timoth Anderson
Waratibu wa mradi wa Uboreshaji wa Elimu ya Sekondari kwa Njia Mbadala (SEQUIP-AEP) wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) wamekutana...
ATIWA HATIANI KWA KOSA LA UBADHILIFU WA FEDHA – RUVUMA
Machi 21, 2024 katika Mahakama ya Wilaya Nyasa, mbele ya Mh OSMUND NSACKHATU NGATUNGA, imeamliwa kesi ya Rushwa namba 6013/2024.
Kesi hii ni ya Jamhuri...
WAZIRI MAVUNDE ATATUA MGOGORO WA WACHIMBAJI MADINI MALERA-TARIME
Aondoa zuio la awali la mgao wa mawe
Aelekeza Wachimbaji waruhusiwe na mgawo kuanzia kesho tarehe 26.03.2024
Wachimbaji waishukuru Serikali kwa utatuzi wa mgogoro na wenye...
RAIS DK.MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI WA MKOA WA MJINI MAGHARIBI KATIKA FUTARI.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi wakiwemo watu wenye mahitaji...
DK. NCHIMBI ATETA NA SHEIN NA SALMIN ‘KOMANDOO’
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amesema ushauri na maelekezo ya Viongozi Wastaafu wa Chama na Serikali, pamoja...
SEKTA YA ELIMU NI WAKALA WA MABADILIKO KIUCHUMI-MAJALIWA
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Sekta ya elimu ni wakala wa mabadiliko katika jamii kiuchumi, kiteknolojia na kiutamaduni katika kuleta maendeleo ya nchi.
Amesema...